Kwa nia nzuri. Huyu jamaa anaripoti akiwa wapi?View attachment 3409750
Wakati akizungumza leo Julai 18, 2025 Polepole ameeleza kuwa mchakato wa kumpitisha mgombea uliofanyika Februari haukuwa sawa.
"Mchakato wa uchaguzi unafahamika, tunatangaza ratiba. Tukitangaza ratiba tunataka watu waje kuomba. Kuomba ni unyenyekevu mana uongozi siyo mali ya baba yako"