Kwa nia nzuri. Huyu jamaa anaripoti akiwa wapi?View attachment 3409750
Wakati akizungumza leo Julai 18, 2025 Polepole ameeleza kuwa mchakato wa kumpitisha mgombea uliofanyika Februari haukuwa sawa.
"Mchakato wa uchaguzi unafahamika, tunatangaza ratiba. Tukitangaza ratiba tunataka watu waje kuomba. Kuomba ni unyenyekevu mana uongozi siyo mali ya baba yako"
Hana mamlaka ya kimaadili kuzungumza haya kwa rekodii yake ya nyuma. Pili, hana staha kabisa. Kwa level yake siyo wa kufanya huu uhuni.
Mambo ya sura peleka kule wewe chawqHata sura yake inamsuta.
Kule yangu ndo hapa JF, ewe nyumbuMambo ya sura peleka kule wewe chawq
View attachment 3409750
Wakati akizungumza leo Julai 18, 2025 Polepole ameeleza kuwa mchakato wa kumpitisha mgombea uliofanyika Februari haukuwa sawa.
"Mchakato wa uchaguzi unafahamika, tunatangaza ratiba. Tukitangaza ratiba tunataka watu waje kuomba. Kuomba ni unyenyekevu mana uongozi siyo mali ya baba yako"
Vitendo haramu haramu vya ccm hata mjumbe wa nyumba 10 akemee havihitaji level yeyote kila mtanzania yeyote anakemea tuHana mamlaka ya kimaadili kuzungumza haya kwa rekodii yake ya nyuma. Pili, hana staha kabisa. Kwa level yake siyo wa kufanya huu uhuni.