Humu hata wanaume ni wapweke

wapo ambao unaweza ukadhani ni wapweke,
kumbe wapo kimya tu, wakitafakari wema na ukuu wa Mungu katika kazi, majukumu na maisha yao...
 
Da mau leo kaongea point tupu, wanaume mmepewa makavu live..!!
Tiba iendelee da mau usikatishe dose πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Toka ume liwa na kale kababu ka JF basi umekua bitter kweli kweli kila siku nyuzi unashusha
 
Wamekua mabubu leo😁

Mic u Unique Flower wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…