Humu JF kila mtu anajua kila kitu!

Humu JF kila mtu anajua kila kitu!

Wapo wengine wanajiona nakuandama watu wakizani wanahisa huku jf , halafu mtu mzima hajieshimu , wala nini , wengine wanataka kuwa na kila mtu humu mwingine akitaka mtu huku wanamwandama kwa id zao za zamani na mpya . Sasa kwa hili sio vizuri mtu anapaswa kulia nakuwa na raha na uhuru wakucomment nakutoa mawazo yake , ni kweli yote ulioandika Street brain
Salute kwako SweetyCandy
 
Humu kuna mada zina misaada sana,mfano kwenye jukwaa la ujenzi kuna mada nilipitia ikanisaidia kusave kariba M16 ambayo fundi na msimamizi wangepiga bila wasiwasi.So wajuaji wapo unachotakiwa chukua points zifanyie kazi.
 
Kujua kila kitu, sio shida kabisa mbona na ndivyo inavyotakiwa, ufundi kidogo, udaktari kidogo ujue ABC, mpira ujue ujue, siasa ndo maisha yetu sasa, kwenye umbea mwanaume unajua kidogo ila wabobevu ni wanawake, kwenye mapishi ujue kidogo hata kama una mke siku moja moja unampikia, ila kubobea lazima uwe na kitu kimoja
 
Humu jf kuna mtu mada za Siasa yeye yumo, mpira yumo, Mahusiamo yumo, music yumo, vita yumo, dini yumo, magonjwa yumo tena anaweza akakupa kitu na ukadhani labda ana Phd ya udaktari, migogoro ya kisiasa yumo yaani akichambua migogoro ya Marekani na urusi unaweza dhani labda amesomea ata diplomasia Daaaah wanajf mi nimenyoosha mikono.

Mfano mzuri ni mshana je na wengine yaani yeye kila jukwaa yupo na hakuna kitu asichokijua Daaaah 😱 kila kitu yeye anajua😂😂 afu kuna wale sasa yeye anasubiri mada iletwe jukwaani yeye apinge, halafu kuna huyu yeye anasubiri mada tu atukane au achokoze mtu waanze kuporomosheana mitusi.

Yaani nyie kila kitu mnajua.
Kuna huyo wa kujiita Mzizi Mkavu" yey kila ugonjwa atakuambia anaweza kuutibu na dawa anayo, "ukimwi anatibu,saratani anatibu" sasa jichanganye umfuate huko PM, "umekwishaa
 
Humu jf kuna mtu mada za Siasa yeye yumo, mpira yumo, Mahusiamo yumo, music yumo, vita yumo, dini yumo, magonjwa yumo tena anaweza akakupa kitu na ukadhani labda ana Phd ya udaktari, migogoro ya kisiasa yumo yaani akichambua migogoro ya Marekani na urusi unaweza dhani labda amesomea ata diplomasia Daaaah wanajf mi nimenyoosha mikono.

Mfano mzuri ni mshana je na wengine yaani yeye kila jukwaa yupo na hakuna kitu asichokijua Daaaah 😱 kila kitu yeye anajua😂😂 afu kuna wale sasa yeye anasubiri mada iletwe jukwaani yeye apinge, halafu kuna huyu yeye anasubiri mada tu atukane au achokoze mtu waanze kuporomosheana mitusi.

Yaani nyie kila kitu mnajua.
Binadamu ana akili sana binadamu huyo huyo ni mvivu wa kufikiri lakini ni muhimu kusoma kuhusu, social inference
 
siku hizi ukiona comment ipo very intelligent usistuke ata kidogo watu tunatumia copilot,Gemini,chatgpt na kadharika ........huo ndio huhuaji wenyewe 😅
 
Humu jf kuna mtu mada za Siasa yeye yumo, mpira yumo, Mahusiamo yumo, music yumo, vita yumo, dini yumo, magonjwa yumo tena anaweza akakupa kitu na ukadhani labda ana Phd ya udaktari, migogoro ya kisiasa yumo yaani akichambua migogoro ya Marekani na urusi unaweza dhani labda amesomea ata diplomasia Daaaah wanajf mi nimenyoosha mikono.

Mfano mzuri ni mshana je na wengine yaani yeye kila jukwaa yupo na hakuna kitu asichokijua Daaaah 😱 kila kitu yeye anajua😂😂 afu kuna wale sasa yeye anasubiri mada iletwe jukwaani yeye apinge, halafu kuna huyu yeye anasubiri mada tu atukane au achokoze mtu waanze kuporomosheana mitusi.

Yaani nyie kila kitu mnajua.
Wee miyeyusho ujue
 
Back
Top Bottom