Humu JF kila mtu anajua kila kitu!

Salute kwako SweetyCandy
 
Humu kuna mada zina misaada sana,mfano kwenye jukwaa la ujenzi kuna mada nilipitia ikanisaidia kusave kariba M16 ambayo fundi na msimamizi wangepiga bila wasiwasi.So wajuaji wapo unachotakiwa chukua points zifanyie kazi.
 
Kujua kila kitu, sio shida kabisa mbona na ndivyo inavyotakiwa, ufundi kidogo, udaktari kidogo ujue ABC, mpira ujue ujue, siasa ndo maisha yetu sasa, kwenye umbea mwanaume unajua kidogo ila wabobevu ni wanawake, kwenye mapishi ujue kidogo hata kama una mke siku moja moja unampikia, ila kubobea lazima uwe na kitu kimoja
 
Kuna huyo wa kujiita Mzizi Mkavu" yey kila ugonjwa atakuambia anaweza kuutibu na dawa anayo, "ukimwi anatibu,saratani anatibu" sasa jichanganye umfuate huko PM, "umekwishaa
 
Binadamu ana akili sana binadamu huyo huyo ni mvivu wa kufikiri lakini ni muhimu kusoma kuhusu, social inference
 
siku hizi ukiona comment ipo very intelligent usistuke ata kidogo watu tunatumia copilot,Gemini,chatgpt na kadharika ........huo ndio huhuaji wenyewe 😅
 
Wee miyeyusho ujue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…