Ni kweli yupo mwenye hizo ID ambaye nina mjua na nilimwambia nikapigwa BANWatu wana akaunti zaidi ya moja, unaweza kugombana na mtu mmoja unashangaa akaunti za ajabu ajabu zinakuja na kukushambulia mpaka unatukana na kupigwa ban ndiyo zinapotea, Uwe mwangalifu
Watu wana akaunti zaidi ya moja, unaweza kugombana na mtu mmoja unashangaa akaunti za ajabu ajabu zinakuja na kukushambulia mpaka unatukana na kupigwa ban ndiyo zinapotea, Uwe mwangalifu
dah! hayaNauliza tu jamani, maana nahisi kuna kundi la watu wakivamia Uzi wako kama wanaambiana vile wachangie nahisi wana-discuss kwanza!
Make itdah! haya