Humu JF kuna watu mnajuana eeeh?

Humu JF kuna watu mnajuana eeeh?

Watu wana akaunti zaidi ya moja, unaweza kugombana na mtu mmoja unashangaa akaunti za ajabu ajabu zinakuja na kukushambulia mpaka unatukana na kupigwa ban ndiyo zinapotea, Uwe mwangalifu

Halafu hii tabia siipendi na naichukia sana Mkuu. Hivi ni kwanini Watu hawapendi tu kuwa na ID moja na iliyotukuka kama Mimi GENTAMYCINE ambae nina hii hii tu tokea nijiunge humu JF na wala sioni sababu ya kuwa na ID nyingine? Wanaona raha gani kuwa na multiple ID's?

Wananikera kweli Mkuu.
 
Kuna ID pia zinajipendekeza sana ktk post za madada wa mjini, yani hawa maduu hata wakiongea shit wenyewe nao wana tiririka shit hata Kama yaliyomo yamo.
 
Hii hatari sana! We uko peke yako wenzio wanaambiana wakutupie dongo lipi... Sisi tusiojulikana humu afya yetu IPO mashakani.
 
Back
Top Bottom