Public Enemy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2011
- 3,029
- 3,520
Usiogope mkuu, wengine vitu pekee tunavyomiliki ni simu na akaunti ya Jeiefu tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eti wakuu mnaonaje namimi mkinielekeza mmefanyaje hadi mkayapatia maisha kiasi hiki. Nimepitia nyuzi nyingi sana nimegundua anayemiliki gari ya hali ya chini kabisa ni Mshana Jr mwenye BMW Series 3 TD 320 tena ni gari yake ya ziada.
Wengine wana ma V8 aka Vieite (kwa sauti ya Humphrey Polepole), Hummer, Bugatti, Range Rover, Ford Everest nk.
Pia nimebaini wana JF wote wana exposure aliyetembea nchi chache sana ametembea nchi 20 tena za dunia yakwanza.
Naombeni mbinu namimi nifike walau Daisalama, ntashukuru sana.
Loh, aroo potiEti wakuu mnaonaje namimi mkinielekeza mmefanyaje hadi mkayapatia maisha kiasi hiki. Nimepitia nyuzi nyingi sana nimegundua anayemiliki gari ya hali ya chini kabisa ni Mshana Jr mwenye BMW Series 3 TD 320 tena ni gari yake ya ziada.