Humu JF niliiombea PSG ichukuwe UEFA UCL na Arsenal.

Humu JF niliiombea PSG ichukuwe UEFA UCL na Arsenal.

loose Nut

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2025
Posts
2,887
Reaction score
6,657
Mkikumbuka miaka miwili iliyopita humu humu JF niliiombea sana PSG kwasababu ya boss wake mqatari Nasser al Khelaifi kwasababu jamaa alijitolea sana hali na mali PSG siku moja inyakue UCL na kweli baada ya mwaka mmoja mwaka jana ikawa bingwa.

Wakati huo pia nikaiombea Arsenal baada ya PSG nayo ichukue UCL naam imefika Fainali. Arsenal haijawahi kubeba UCL imejaribu sana. Sasa hivi ni Wakati wake.

Pia ndoto yangu kabla nife Mungu amsaidie Mohamed Salah achukue baloon d'or yani nitafurahi sana.

Naam ndoto yangu ya mwisho kabla Mungu hajanichukua ni huyu bwana mdogo Lamine Yamal Mungu amsidie Barcelona ichukue Siku moja UCL na pia Baloon D'or.

Yani ikitokea hivyo nitakufa mwenye furaha sana.

hydroxo

adriz de mbusii
 
Lete Thread Zako Zinaonyesha Ramli Chonganishi Imejibu Chap
 
Back
Top Bottom