Humu kuna wanaume kama hawa

Watakua wanataka vyote uzuri mmoja wa hivyo huwa wanajionea huruma kutafuta pesa, gademiiit 😅
Hali imekuwa ngumu sana mtaani, wadada sasa hivi wanachukulia mahusiano kama ajira ili waweze kupata mahitaji ya msingi yanayotatuliwa na fedha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…