Humu ndani chit-chat watu hujibu kwa hisia hivyo kuathiri majukwaa mengine na tabia za watu

Principal Focus

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2013
Posts
925
Reaction score
550
Habari ndugu/ jamaa wa jf!

Leo nimeshtushwa na baadhi ya response toka kwa wana jf ambao sijui tuseme ni makusudi kwa kudhamiria au bahati mbaya, wamekuwa na tabia ambayo inanipa mashaka.

Sisemi wana jf wote ni baadhi yao wamekuwa na tabia za ajabu sana. Wao hawasomi ujumbe wote wanasoma kichwa na kujibu kwa hisia sana bila kuelewa nini kinajadiliwa.

Hii imetokea leo baada ya kuleta mada lakini ajabu ni kuwa watu walisoma kichwa na kujibu kwa hisia sana, bila hata kuelewa nini kinaongelea japo wengine wanasoma kushika point kama vile anasoma tamthilia ya ngoswe kitovu cha uzembe ili akafanye necta.

Mbaya zaidi bora basi usome uelewe ni nini kinazungumziwa ili upate kuelewa lakini wao wanasoma na kushika mstari mmoja na kutoa comments ambazo kiukweli sikutarajia.

Wengine ndo vile tu kisa anataka kuonekana kachangia utaona anapost "wasted sperm", wengine "empty set", au " hivi na wewe ni binadamu", huku wengine wanaita watu waje kushambulia wao wakijifanya watakatifu.

Sikutegemea kama jf itakuwa ni sehemu ya kujibu kwa hisia kama mashabiki wa chadema na ccm.


Ila najua hata humu watakuja, so nyie njoo ila mkae mkijua mapovu yenu hayana sabuni.



Anxieties are after your peace not ur success.

Mnaotumika pia nyie mkuje tu povu ruksa bili nshalipia.
NB: NIMEJIHAMI TU MAPEMA
 
Ngoja watu wa chitchat waje mi nilikuwa napita tu.
 
Kika uzi unaoanzisha unalalamika lalamika kwani ulilazimishwa kupitia comments za uzi uliouanzisha?


Na matusi unayotoa kama mfano mdo kwanzaa nayasoma toka kwako,inaonekana una ID nyingi za kujitukana kisha kuja kulalalmika kwa ID nyingine
 
acha uchokozi na uchochezi...nikija kwako mm huwa naanzia kupiga goli 5 kama minimum.....maximum utalamba mchanga kbs!!
Angalia nisikuaibishe tu ukasahau hata suruali badala ya kugonga ukagongwa
 
We jamaa nyuzi zako ni kulalamika tu sijui unanini[emoji15] [emoji37]
 
Punguza tabia za kigasho shosti unaboa
πŸ˜•πŸ˜•πŸ˜•πŸ˜•πŸ˜•πŸ˜•πŸ˜•πŸ˜•πŸ˜•πŸ˜•πŸ˜•πŸ˜•πŸ˜•πŸ˜•πŸ˜•πŸ˜•πŸ˜•πŸ˜•πŸ˜•πŸ˜•
ila mie sio shost yako... Mkuu.
Japo nimekuelewa ulichosema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…