humu ndani hakuna wa kuoa kabisa

humu ndani hakuna wa kuoa kabisa

cinderelalove

Senior Member
Joined
Feb 23, 2013
Posts
189
Reaction score
39
nimefuatilia toka mbali topic zote za kutafuta waoaji humu ndani nikagundua ni bure kabisa,wadada wengi wako verry serious but mens are not serious,kwann lakini?basi kama huu ni ukumbi wa kujifurahisha na utani mwingi poa,lets gooooooo
 
Ni pm tuongee.
 
jamani yani umeongea kwa uchungu, waoaji wapo sema kujua yupi yuko serious hiyo ndo kazi
nimefuatilia toka mbali topic zote za kutafuta waoaji humu ndani nikagundua ni bure kabisa,wadada wengi wako verry serious but mens are not serious,kwann lakini?basi kama huu ni ukumbi wa kujifurahisha na utani mwingi poa,lets gooooooo
 
Duh pole sana kama kuna yaliyokusibu .anyway unaweza kuni pm kwa maongezi zaidi .
 
Mmezidisha mizinga kwa M-Pesa/Tigo Pesa .... tumehamia CBE, dah wake wakumwaga, aha haa haaa
 
naww kongosho wa wapi tena?kudip ndo nn em rudi darasan sema KUBEEP baha wee Kongosho
 
hayajanisibu bali hufuatilia nione ukweli but naona giza tuu rafiki

ni kweli mamie hapa kuna watu wanaleta utani mwingi wakati wengine wapo serious . Kuna watu wakila namna hapa . Kuanzia wachora zombiezz hadi watu wazima wenye busara zao .
 
nimefuatilia toka mbali topic zote za kutafuta waoaji humu ndani nikagundua ni bure kabisa,wadada wengi wako verry serious but mens are not serious,kwann lakini?basi kama huu ni ukumbi wa kujifurahisha na utani mwingi poa,lets gooooooo

Aisee tupo kabisa; ila wadada wengi ni wazito kukutana uso kwa uso. Aliye serious tukutane mambo yaive
 
Huo ndio ukweli wagumu sana kukutana uso kwa uso,wanataka ku-practice online love tu,mbona wahitaji tuko wengi sana!
Aisee tupo kabisa; ila wadada wengi ni wazito kukutana uso kwa uso. Aliye serious tukutane mambo yaive
 
Watafute nje ya hapa ............ to every problem there is a solution
 
Back
Top Bottom