revocatus.julius0
Member
- Feb 10, 2013
- 14
- 1
Sio kweli kabisa. Wanaume wengi pia wako sereous ila tatizo nililo gundua wadada wengi wanahitaji wanaume wenye umli miaka 33 and above ambavyo kwa kawaida kwa vijana kama mimi wenye umli pungufu ya hapo tunakoswa sifa na kujiweka pembeni na hivyo kuwafanya wale wasio kua wastaarabu kuanza kutoa jokes.
Lakini ukweli halisi wengi wako sereous.
Lakini ukweli halisi wengi wako sereous.