cinderelalove
Senior Member
- Feb 23, 2013
- 189
- 39
nimefuatilia toka mbali topic zote za kutafuta waoaji humu ndani nikagundua ni bure kabisa,wadada wengi wako verry serious but mens are not serious,kwann lakini?basi kama huu ni ukumbi wa kujifurahisha na utani mwingi poa,lets gooooooo
Ni pm tuongee.

sawa mkuu
Wamekudip?
Strata zimelala S au N?
Duh pole sana kama kuna yaliyokusibu .anyway unaweza kuni pm kwa maongezi zaidi .
jamani yani umeongea kwa uchungu, waoaji wapo sema kujua yupi yuko serious hiyo ndo kazi
unabikira? kama unayo ni pm.
hayajanisibu bali hufuatilia nione ukweli but naona giza tuu rafiki
nimefuatilia toka mbali topic zote za kutafuta waoaji humu ndani nikagundua ni bure kabisa,wadada wengi wako verry serious but mens are not serious,kwann lakini?basi kama huu ni ukumbi wa kujifurahisha na utani mwingi poa,lets gooooooo
Aisee tupo kabisa; ila
wadada wengi ni wazito kukutana uso kwa uso. Aliye serious tukutane
mambo yaive
Aisee tupo kabisa; ila wadada wengi ni wazito kukutana uso kwa uso. Aliye serious tukutane mambo yaive
Hujambo Mama Zombie?