Humu ndani kumepoa sana

Tupo lipo wazi mamy kupokea chochote kutoka kwako....

Karangiza hadi majirani wachungulie dirishani

Sio you wachungulie dirishani watajikuta wanapiga chabo wasipoangalia maana Kasie aka mapishi sijisifii ila.... utajikuta unasinzia huku ukiniwaza hasa kila pale unapokumbuka mapishi yangu.

Shurti narusha chapati hewani ikirudi kwenye kikaango naendeleza libeneke heheheheheee mboga za majani naunga na karanga... ugali wa dona pembeni samaki wa kupaka...... hutojuta kumfahamu chotara Kasie.

Narudi jikoni mwaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…