Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji125] [emoji125]Jambo mdogo wangu
kivuruge wa Lee mimi apaKuvuruge wa lee
Sasa hivi inabidi ni -team up na Shunie na kasie..T
Taratibu basi
Haya bwanawala ata
Piga Namba hii 111 ila wakujazie bando wambie mndali atakuja kulipaMm
Sina bandle
We unaonajeMtoa post au mtoa thread?!
Sakayo njo umjibu kaka wa watu awe na amaniSawa,..ila akisema yeye itatia nyama zaidi
[emoji1]Kwani umeshaamua kurudi kazini si uliacha kwa barua
BIG kuja usome apaWala usijali mdogo wangu...
Mie wala nilikuwa sikumbuki eti
Hivi babu mama clare maana yke ni nini maana ninarafiki yangu mmbulu anapenda kweli kuniita hivyoMama klaree anakaba
Naleta babaaKoh koh koh..!
Sakayo niletee maji mama
Yule ajuza mbona mambo yake yashakwisha. Atupishe ukooBasi sawa ila unamuweza kasie
Cc: kasie
Popote ukimwona em mwambie namsalimiaPoa karibu sana katika familia
Eeev nimegusa kisogo DearHahaha yeah
kutugaia mahela halaf bando lake la chuo ndio anamalizia hiviSijambo.
Katuita tufanye nini?
Wapi babu??Njoo uchukue
Haya nipe.Nina zawadi yako sisy
sas wew si unajuana nao mkuu, mi mgen humu japo nipo tang mwez wa 3Jidai hata mjomba wake daby mkuu
Mi ni mlinzi wake shunie[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji134] [emoji134] [emoji134]