Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeona eeh,wenye viuno vyetu tuko stejini. Ajipumzikie tu,keshang'atuka huyoBasi ...
Nakunywa maji now.. no more talks on her [emoji40][emoji40]
Haaaa wew kwahiyo huyu bi shosti anamaanisha nn kuniita hiviMama klaree ni bibi yako ukimwona msalimie sawa aa
ban ni nini dadaMmh si ile siku mliyopewa ban wote ulikuja na id hii kwahiyo unajikana leo kaka
Hahaah ndio tumuulizeHizo pesakaiba wapi? Au kahongwa na nani?
sas wew si unajuana nao mkuu, mi mgen humu japo nipo tang mwez wa 3
Nashukuru mkuuKaribu bwana
EeeehehheTamu eeh
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji106][emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji106]
Amekusamehe bana
sawa karibuNdio tu[emoji4][emoji4]
Mbona waguna mrembo?mm ndo bi mdogo eeh. Habari ndo hiyo
[emoji2] [emoji2]Basi ...
Nakunywa maji now.. no more talks on her [emoji40][emoji40]
asant ila mi ni mgen ndio mana mnaona labda kama najfanyshaPole mwaya
Acha kudeka
Nilikusamehe toka jana, Usijali kabisaa...Ata mi sina tatizo na wew,..ila umenisamee!!??
Karibu cecy..Kwahiyo wapya hawatakiwi humu
Khee huo wivu sasa kwa mwanaumesio woga bro, mnajadiliana kwa kujuana tena kuna had wapenz humu