Humu ndani kumepoa sana

Nipoo mie huwa nazurura sana kule kwenye mahaba (MMU) maana ndo nyota yangu heheheeee ila nashangaa sijapata notification yako ya kuni mention kwenye huu uzi. Nimeita new post ndo nikauona huu uzi.

Nashukuru kunikaribisha hapa haya twende kazi...
Teh mamy wewe na mahaba tena.

Hiyo ni criminal case nani umemsubscribe hadi notification zangu huzipati?
 
Teh mamy wewe na mahaba tena.

Hiyo ni criminal case nani umemsubscribe hadi notification zangu huzipati?

Na Mahabat mwenyewe ndo Daby....
Hata sijui nini kimefanyika sijamsabuskraibu yeyote yule. Hiyo case ielekezee kwa mods au itakuwa kuna mtu kanifanyia kitu kwenye ID yangu....

Itabidi uchunguzi ufanyike upya, miss you Dady
 
Wacha nimuulize paw maana sitaki kuamini Asprin ndiyo anafanya hizi hujuma.

Miss you too in eksitent
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…