Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simo tena[emoji24] [emoji24]
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Sasa mtu usije ukasema mbona sijatajwa. Mimi sio kompyuta mpakato nihifadhi majina yote
salama,za miaka?Nakusalimu
Teh mamy wewe na mahaba tena.Nipoo mie huwa nazurura sana kule kwenye mahaba (MMU) maana ndo nyota yangu heheheeee ila nashangaa sijapata notification yako ya kuni mention kwenye huu uzi. Nimeita new post ndo nikauona huu uzi.
Nashukuru kunikaribisha hapa haya twende kazi...
Huku kwetu wanamalizia kuvunaHahah naona aseeh. Labda watu wanapalilia nini![]()
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wewe nimekutaja pm sikutaka kukuanika maana hauchelewi kunipitia usiku [emoji3]
[emoji736] [emoji736] [emoji736][emoji118][emoji106][emoji106]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Wewe nimekutaja pm sikutaka kukuanika maana hauchelewi kunipitia usiku [emoji3]
ID ile ile uncle Magu tu unanibana..Nzuri,
Nikajua ulishafungua I'd mpya
Teh mamy wewe na mahaba tena.
Hiyo ni criminal case nani umemsubscribe hadi notification zangu huzipati?
Wacha nimuulize paw maana sitaki kuamini Asprin ndiyo anafanya hizi hujuma.Na Mahabat mwenyewe ndo Daby....
Hata sijui nini kimefanyika sijamsabuskraibu yeyote yule. Hiyo case ielekezee kwa mods au itakuwa kuna mtu kanifanyia kitu kwenye ID yangu....
Itabidi uchunguzi ufanyike upya, miss you Dady