Pesa ziwaze wakati unazitafuta ukiziwaza kila sehemu utakonda bure.hahaha..@dady bwana....mwenzio nawaza hela ya kununua mbao nikapaue kale kamjengo ..nikopeshe basi...in governor joho voice..maan kichwa hakiko sawa kinawaza hela tu..
Oyaaaa!Hawaapa ndo ma-singel mtambalike
-shunie
-sakayo
-silent heart
-valentina
Chagua unayemtaka takua kuwadi[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji40]
silent heart [emoji175]Hawaapa ndo ma-singel mtambalike
-shunie
-sakayo
-silent heart
-valentina
Chagua unayemtaka takua kuwadi[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji40]
Angalia ranking mkuukumbe na Jf kuna masupastaa.. eti lothrito unajuaje huyu ni supastaa wa jf
Hahaaa! Utamu wangu on the way..Naanzaje Kukataa sasa....
Ndio.Kwani kuna sehemu unawahi
Hahahaa...Wakuu nimechoka kinoma meet you next time.
Nilikuwa kwenye party mwana naangalia watoto wazuri kuanzia wa kibambadi mpaka walami na Cubano,Boriqua nawa kila rangi black, white Puerto Rican and Asian, wameanza kuvaa vikaptula na visketi vyao vifupi, si unajua summer ndiyo inaanza huku.
Kula kwa macho tu lakini. Bi Zuhra alikuwa pembeni.
Nimepitwa na nini hapa?
Ki note kile cha Mbowe kweli au feki?
Kama ziile siunajua bby[emoji15] [emoji87]
Niwakunyonga huyoOyaaaa!
Nenda ka-edit mkuu
Tutagombana bure
Anataka kesi na the untouchable..
ranking unaangaliejeAngalia ranking mkuu
Ni easy hawa ni baadhi
-shunie
-daby
-jamiiforums
-shedede
Usijali mimi ndo mzee mkavu ojilino[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]mh bas mkuu utakuwa unanifundisha chocho za kutafuta walembo wakali
HahahaHahaaa! Utamu wangu on the way..
I am like i can't wait..
Kweliii yupo nae[emoji4][emoji4]Umesahau head [HASHTAG]#joanah[/HASHTAG] .
Anyongwe tuuHahaaaa!
Kwa sauti ya Mh. Mbunge Kessy
Hehehee. Yule kutwa anatetea wanaume wakorofi kwa wake zao au?Kuna mwengine anaitwa lady nn cjui vile