Humu ndani kumepoa sana

Humu ndani kumepoa sana

Nilikuwa kwenye party mwana naangalia watoto wazuri kuanzia wa kibambadi mpaka walami na Cubano,Boriqua nawa kila rangi black, white Puerto Rican and Asian, wameanza kuvaa vikaptula na visketi vyao vifupi, si unajua summer ndiyo inaanza huku.

Kula kwa macho tu lakini. Bi Zuhra alikuwa pembeni.

Nimepitwa na nini hapa?

Ki note kile cha Mbowe kweli au feki?

Kuhusu ufake au ukweli sijajua bdo ila ile sauti ni ya wema. Labda ya mbowe ndiyo yenye walakini.
 
Back
Top Bottom