Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ikawaje sasaaamchuchu alikuwa Jime bana....duh, alipiga vya mbavu!! na hako ka timu ndiko kalikuwa kanamdanganya mtoto...
Come, sit the nearby chair, mvi zisikutishe mumyyThanks
Hongera kwa kuwowa mke kisuuu...asante, sema nina mke lakini na atakuwa amewazidi wao mara milioni 3.
Nipo...naona mpya tupu.B, upo mpendwa
Madame Mie sijafunga bhana.... Huoni hilo jina langu ni la yule mfuasi wa Yesu
Ndo nshajitaja mieZubaa usitajwee [emoji3][emoji3]
Aiseee, umemtaja Heaven on Earth? huyu malaika yuko wapi jamani...Yaani wewe mpaka uwaone kina HoE ndo ujue uko jukwaani au
Thanks again!!!Come, sit the nearby chair, mvi zisikutishe mumyy
Mbona hukuwahi kuniambia aisee?Daaaah
Miss wewe mnooo....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] uchawi atakuwa kawafundisha Mshana [emoji1] [emoji1] [emoji1]Mwekundu namjua siku hizi naona wanashambulia upande mmoja na Buji Buji na mshana.... hawa watu ni hatari like a simba.
Usipokubali kwa sound basi watakuwangia
ni kweli...siku izi wadada wanamwendokasi!! [emoji23] [emoji23]Hahaha
Nakuonaa nakuonaaa
Nimesikia siku izi anawanga...huyu bazazi...[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hivi mwekundu yuko wapi