Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,577
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Kumbee hebu tudhibishae hizo tuhuma maana ni nzito
CC Daby
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Kumbee hebu tudhibishae hizo tuhuma maana ni nzito
CC Daby
Wacha nikutaje mkuu.Tupo bwana Daby hata sie memba wapya muwe mnatutaja kidogo tunajiskia ka prestige flani tukitajwa
ndo narejea hivi ila kuna watu siwaoni @Richpol Kipaji Halisi Omerta Dinazarde na wengine wengine....Pole japo wote tunapitia hayo. Usipotee saana bwana uwe unakuja kutusabahi. Kuna watu utatukondesha
Unakimbilia wapi rudi hapa[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Nilizani uko jaza ujazwe km mmKwa nini ?
KuuumbeeeeNdiyo.asili ya mwanaume.
Miliki zaidi ya unavyoweza
na wageniNyie na nani?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Bado simo [emoji24] [emoji24] [emoji24]
KakufogetSimo tena[emoji24] [emoji24]
Km popobawa au!?Wewe nimekutaja pm sikutaka kukuanika maana hauchelewi kunipitia usiku [emoji3]
senki yu saa na tena hu mtaa ndo hua napenda kutembea..Wageni mnakaribishwa pia.
Mgeni karibu wenyeji wapone