Humu ndani kumepoa sana

Humu ndani kumepoa sana

Hili jukwaa vipi? Au hali inakaba hakuna bundle? Siku hizi nikichungulia Nalog-off haraka ila nyuma nilikuwa nasahau hadi kazi za mkoloni. Kiufupi uchovu wa kazi nilikuwa nautolea hapa.

Juzi watu8 alisema akiingia JF anakutana na ID asizozijua anaamua kulog-off. Let's make chit-chat great and charmist again. Member wapya njooni muongeze marafiki, wa zamani tuliendeleze.
jamani wapi sunter,nyani ngabu,miss natafuta,shunie
 
Nilikuwa kwenye party mwana naangalia watoto wazuri kuanzia wa kibambadi mpaka walami na Cubano,Boriqua nawa kila rangi black, white Puerto Rican and Asian, wameanza kuvaa vikaptula na visketi vyao vifupi, si unajua summer ndiyo inaanza huku.

Kula kwa macho tu lakini. Bi Zuhra alikuwa pembeni.

Nimepitwa na nini hapa?

Ki note kile cha Mbowe kweli au feki?
 
That's my man
172c05256e3d9c5d9a97ef88afafb9c4.jpg
 
Back
Top Bottom