Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,548
- 63,038
Toka last year sijamuona onlineSijamuona siku nyingii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Toka last year sijamuona onlineSijamuona siku nyingii
TeeeenaaaJipya ni kwamba natangaza vita
Tatizo wenyeji wanataka kumiliki jukwaa wao Tu.Na member wapya wanaonewa saana sijui kwanini
Tatizo shansarie anakuficha sana bananaona sura ngeni tu hapa...
ninayemjua hapa Valentina nayeye kafunga vioo...
Nimeishia kukimbia kimbia, hata sijui naelekea wapi...[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Mkuu..Tatizo mtu anaweza anazisha mada ya kichit chat members wengine wanamzodoa aisee. Kisa Tu ni mgeni kwenye forum
c realmadrid bana..Kwanini kidogo badala ya sana?
Acha kabisa. Lengo la chit chat ni Kwa mada zile ambazo watu wanaweka fahamiana utani kidogo. Ila kuwa memba wengine wanazinguaHilo nalo neno mkuu
Mimi hata kama sikujui nakupa gwala tuu...Na member wapya wanaonewa saana sijui kwanini
Mkuu..
Hala madrid...[emoji123][emoji123][emoji123]
Hahhaaa....
Anaekufundisha roho mbaya mwambie aacheWewe ushakuwa matawi ya juu siku hizi,sikuwezi....
Ndio ilibidi tuanzishe ili watu wajiachie tuIla ubaguzi umeisha.... 2015 2014 aseeh ilikuwa ukiingia jf unatamani kuondoka muda huo huo.
Na ndicho kilichopelekea mkaanzisha makapuku
Hebu wacha uoga bana weeHahhaaa....
Mambo mengine uje pm na wewe.
Mkuu wa anga ndio nini ! Hawachelewi kusema naruka na ungo hawa [emoji23][emoji23][emoji39]
Poa ngoja nijaribu kuitoa hiyoHaya jiandae vaa vile vigonga snake nilivyokununulia bathdei eeeh.
Halafu kama unatumia apps nenda kwenye setting ondoa hiyo signature vi.