Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
aisee...natamani sana kukumbuka...Hamna sura ngeniiii hapa, wote wenyeji ukiwemo wewe....
Hivi umenisahau au
Hao wengine Sana wamepoa kidogo.Ila wakongwe wa kuanzia 2010 -2006 naona wengi wamezeka bwana.
Nitamsalimia. Nachat naye hapa hahahaha.Msalimie shemeji aseeh
nadhani mimi pia ni mkujichanganya vizuri sana...Tatizo mnataka kufahamina ndugu tuu..
Sasa vale ni dada yako...hutaki kujichanganya ama?
kwendeni huko na kikombe chenu hicho
sina ubavu wa kuwatenga warembo kama nyinyi aisee [emoji12] [emoji12] [emoji12]Yeye ndo katutenga
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nikiwafahamu nitafurahi sana.Hahahaha... wengi wanakun'gon'ga na I'd mpya mpya
Nitamwambia huwa anaingia humu Kwa kutegea Sana.Amepotea JF . Aje atusabahi hata one day
Afu huu mjina sijui niliuokota wapi vile...kama jina lake lilivyo
Shikamoo madam SakayoNdo Salam gani hiyo lakini....
Eti Shkamo bhana...... Sitakiiii
Samahani mkuu..sina ubavu wa kuwatenga warembo kama nyinyi aisee [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Mkuu...nimekuona bana...Nitaje bhana
Mbona umepanic team andunje hahahahakwendeni huko na kikombe chenu hicho