Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
bado mnahitajiana tu? Duh
Her yako brazaaMimi hata kama sikujui nakupa gwala tuu...
Peace and love muda wote.
Ndio hivyo. Kila sehemu mambo kama Haya yapo. ila yasizidi Sana aisee.wageni tunapatga tabu kwli mkuu. unawez ukaanzsha mada yako nzur tu ila kwa kuwa ''hujulkani'' wanaishia kujibu watu wasozid kumi tu.ila akianzsha flan kwa kuwa n maaruf anapata reply 1000+
atakuwa amejilipua leo hapo alipo hajui anatumia nini [emoji23] [emoji23] si unaona anavyomshushia paroko mistari?Haya jiandae vaa vile vigonga snake nilivyokununulia bathdei eeeh.
Halafu kama unatumia apps nenda kwenye setting ondoa hiyo signature vi.
Mimi huwa naingia mara moja moja aisee ila siwezi watengeza Ile familiaNamwona Bitoz na Jimena siku moja moja saana. Wewe haupo kuna jamaa alikuwa na jina gumu simwoni pia
Ni kweli kabisaKati ya mtu anayeshow love humu JF mimi ni mmojawapo
[emoji1] [emoji1] [emoji6] nsharudi Ntwara kwetu....Umehama nini?
Sasa huo ni uchocheziNgoja nichungulie mada zako
Labda ana id ingineToka last year sijamuona online
sisi mababu bana...hatuzeeki maini...
Mwanzon ulivotaja ''Kijiji'' chako nkajua tu hpa ''wanaojuana'' ndio watakuw weng na ndio ni kwli...Kati ya mtu anayeshow love humu JF mimi ni mmojawapo
UmeonaeeKuna member humu jukwaani kama hakujui hata ukimqoute hakujibu
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Sasa huo ni uchochezi