Humu ndani kumepoa sana

Humu ndani kumepoa sana

Daby upo? Usisingizie kazi Mkuu, hicho chombo kipya ndo kinakusahaulisha chezea kubebishwa hahahaaaa,.... Mm nasubiri ck ifike nipige kigelegele mkuu[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Ujue siku mingi sijakuona msalimie mandito
 
Wacha tusubiri tuone ila ile sauti ya wema kabisa sijui kwa mbowe ila ngoja time will tell
eti wema vs mbowe ha ha ha mtasema makonda anamchafua mbowe kwa kiki za siasa.
 
Back
Top Bottom