Humu ndani kuna babu na bibi zetu tuheshimiane

Humu ndani kuna babu na bibi zetu tuheshimiane

Mchimba Chumvi

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2016
Posts
2,244
Reaction score
5,500
Wakuu habari na poleni na hili janga la COVID-19.

Jana mimi kama Mchimba Chumvi niliweka tangazo humu la kuuza sim yangu na nilifanikiwa kwa asilimia 1000.

Sasa bwana jioni nilifanikiwa kupokea simu ya mtu analiedai hii anaitaka hii simu kiukweli hakua na mengi zaidi ya kunielekeza alipo tuonane anununue simu tofauti na wengine.

Leo asubuhi nikamuibukia mpaka eneo hilo,kiukweli ninavyoongea nae kwa simu alisound kama father fulani hivi .
Nilivyofika eneo la hilo nikampigia akaniambia bado hajafika eneo hilo nimsubiri, punde akanipigia aisee kugeuka nikamuona nilipigwa na butwaa ni mzee sana kama +65yrs hivi anyway tukafanya biashara .

Vijana hasa sisi early 20's humu tupo na zaidi ya wazazi wetu humu,tuheshimiane hata kama usimheshimu mtu kwa I'd yake, nimestaajabu sana kumuona huyu mzee ambaye kaniambia alijiunga jf 2010 na vile tunavyojibizana humu.

Shikamoo mkuu japo hujanitajia I'd yako ikiwa yangu unaijua.
Heshimu kila mtu you never know.

Uzi tayari.
 
  1. Tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara
  2. Kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi
 
Siku chache hizi ukiwa unaamisha nini?kwamba ugonjwa unaisha ndani ya siku hizi chache?
"Reference"
Neno "siku" limesimama likimaanisha "Muda"

"Chache" neno lipo hapo kuonesha hope(Matumaini).

Binadamu anahitaji matumaini ili kupambana na kitu chochote.
 
Mjue tu kuwa mpo na "mafaza" wenu humu, sema tu ndio hivyo hii Corona sisi twende wapi, tunajichanganya na vijana wetu hamna namna
Basi kuna vijana hapa huwa wananiita dogo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].. Kuna mmoja kwenye mishe zetu hizi tukakutana siku moja halafu nikamkumbusha...

Jr[emoji769]
 
Basi kuna vijana hapa huwa wananiita dogo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].. Kuna mmoja kwenye mishe zetu hizi tukakutana siku moja halafu nikamkumbusha...

Jr[emoji769]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom