Humu watu wanahamu sana ya kunfasex

Umezungumza vya mana
 
Huu mtandao unaongoza kwa kuwa na wadada wabovu kuliko mtandao wowote, hata mkikubaliana, unatakiwa kukaa mbali unamchora kabla hajafika maeneo
Tuliza ... Makebo yako wewe.
Humu kuna wasichana na wanawake wa maana sana.
Wazee (mama zetu), waalimu wetu wa shule na chuo, dada zetu na wapenzi wetu.
I can confess nimewasiliana kwa urafiki wa kawaida tu na wadada warembo sana wanao jiheshimu huko PM. Wana akili sana.
Pengine maisha nje ya JF wengine ingekuwa ngumu kuwa na ukaribu sababu ya harakati za kutafuta maisha bora.
For some reason siwezi wataja.
Nikiwaita pisi za kwenda nitawavunjia heshima.

Kwa wale wanawake nilio wasiliana nanyi PM heshima kwenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…