Humu watu wanahamu sana ya kunfasex

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ daah hivi zamani watu walikuaga wanaanda gathering wanakutana kwanini isisrudishwe hii jamani!?
Tukate ngebe za kuambiwa wanawake wa jf tunafanana na baba zetu mambiligisi πŸ˜‚
dah mtatutumia picha sisi wenye vichogo ka zuchu!
 
I can confess nimewasiliana kwa urafiki wa kawaida tu na wadada warembo sana wanao jiheshimu huko PM. Wana akili sana.
Inaonekana umeliwa sana nauli huko dm na picha za mitandaoni, halafu ukute wote walikuwa vidume
 
Labda sisi ndio wahusika
watajua wenyewe kila mtu afanye kinachomfurahisha, wa kujiuza tujiuze, the wanna be's pia wana nafasi yao, holy fathers nao.. tusipangiane maisha! soko limeyumba kimpango wake tulaumiwe sisi jamani, mtu uwe serious kwenye real life na mtandaoni tena! si tutakauka tumekaa mwee! hebu mnipishe huko!
 
Jamii Forums ina majukwaa kibao
Ya Siasa biashara mpka mapishi
Mtu hatembelei hayo majukwaa kwanini?

Na kwanini tupangiane maisha?
Ukiona mada imeenda hewani na haijafutwa ujue hakuna uvunjaji sheria wowote umefanyika

Ila JF 🀣🀣
NB : kulombana ni afya sio anasa
 
Hapa ndio umepigwa sasa, unaamini kutumiwa picha za mitandaoni
Ukiwa na akili ndogo huwezi verify authenticity ya identity ya member yoyote wa humu JF.
Wapo wanaotafutana kabisa waonane physically.
 
ndugu mdau,
kua na hamu na hiyo mambo ni ishara na dalili ya wazi kabisa ya afya njema physically and mentally. Hiyo ni hali ya utayari kwenye mapambano na shughuli za uzalishaji kwenye 6kwa6.
Congratulations kwa wanapitia hali hii muhimu sana maishani.

Mwenye changamoto hususani ya kiafya hawezi kupata hali hiyo, daima hua mnyonge na mwenye mawazo mengi, hofu na hali ya kutokujiamini na kukata tamaa. Nawaombea baraka na neema za Mungu, wanapotafuta suluhisho za changamoto zao kwenye eneo hilo, Mungu akawafanikishe.

Ndugu mdau,
masuala ya mapenzi ni hiyari ya muhusika mwenyewe, aingie kwenye mahusiano na fulani au asiingie.
In fact,
Licha ya changamoto zake nyingi sana, Mapenzi hayana formula na hakunaga mzoefu kwenye hilo. Leo utafurahi, lakini kesho utaumizwa, ni muhimu sana kua wastahilivu na wenye subra katika mapenzi na kufahamu hayo kabla ya kujitumbukiza mzima mzima πŸ’
 
Wape mama vidonge vyao. Wakimeza wakitema hiyo ni shauri yao.
 
Nenda kapewe padri ulombwe binti, ukibahatisha wawili nipe mmoja basi nna sikuπŸ€”

hafu we malaya Palac koma kunitag usenge usenge mimi, kila mtu afanye kilichomleta humu, we kama umekuja kuonesha watu ni wa maana sana komaa kimpango wako! assful kmmk!
 
Wewe ni basi mboga mboga wamekuharibu
Ila ulikua vizuri tu
Ona haya madiniπŸ”₯
 
Kwahiyo mapadre wanapiga watu mitalimbo?
 
Nenda kapewe padri ulombwe binti, ukibahatisha wawili nipe mmoja basi nna sikuπŸ€”
Sawa nitakupea mimi tena na πŸ†πŸ€£πŸ€£
hafu we malaya Palac koma kunitag usenge usenge mimi, kila mtu afanye kilchomleta humu, we kama umekuja kuonesha watu ni wa maana sana komaa kimpango wako! assful kmmk!
Naunga mkono hoja sitaki mtu ku ni tag kwa mada za masiliko
Palac tafuta watakatifu wenzio please leave me alone πŸ“Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…