OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Usianze matusi sasa jadili tu mada. Ukianza matusi nitakudhalilisha maana naamini siwezi kuwa na akili fupi zaidi ya mama yako.Aisee wewe akili yako ni fupi mno tunaupimaje ukali wa striker?
5G ndo nini jirani..Munawaacha baada ya kula 5G😂
Hebu nikumbushe vizuri, Fernando Torres alivyohama Liverpool kwenda Chelsea, form yake ilikuwaje? Au Alexis Sanchez alivyotoka Arsenal kwenda Man UTD, kiwango chake kilikuwaje?Ma Foward wa Bongo wana kuaga wa MOTO sana wakiwa hizi Team kubwakubwa tu wakienda hizi Team Ndogo wanapotea unaanza kujiuliza ule uwezo umepoteaje?
Hapo unagundua huenda ni kweli hizi Team Kubwa hua zinahonga Mabeki wa Vitimu vidogo vidogo ili foward zao zifunge zionekane za Moto.
Hivi Kweli Mbappe atoke Leo PSG aende Nantes atamaliza Msimu na Goli 3 na Kukosa Penalty Kipumbavu?
Afadhali ingekua amehama Ligi yani ndani ya Ligi ileile aliyoiteka Miaka 5+?
KAGERE ALIKUA MZURI..Ila hio Hoja Niliyoibua izingatiwe!
KoloizdadBora sisi tunawaacha nyie mnakimbiwa...yani hawawataki....
Depotivo de utopolo de supu ya majini Fc...Koloizdad
Sio kweli, unamjua Jama MBA wewe au Mlete Mzungu? Walikuwepo wengi wazuri toka enzi za akina Nonda mkuu, walikuwa wazuri japo hawajafunga goli nyingi kama MK14.Kama kumewahi kuwa na Striker wa kigeni hatari kama Kagere nikumbushwe. Hakuna cha kusubiri azoee ligi wala nini. Halafu jitu la kazi halina shobo na media wala ulimbukeni wa kulewa sifa
Mimi shabiki wa Yanga,kimpira sijawahi kupenda aina ya style ya kagere vile anavizia muda wote,but sijawahi kupinga umahiri wake wa kucheza na nyavu
Siku moja tupo na washikaji tunacheki game ya Simba na Namungo kwa mkapa,dk 90 ngoma 0-0 ,nikajua mtani kapoteza points,ghafla yakamwaga maji na hajib au tshabalala Mpira wa chini kagere kapiga kichwa,goooooooal...ghafla nikastuka nimesimama napiga makofi karibu 20 seconds,nilishangia goal,sio ushindi wa Kolo
Haha Safi Sana ndugu kumbe bado nna kumbukumbu,Mali imetoka kwa ajib, Mohammed Katia majalo...
View: https://youtu.be/fddY9bgDBMo?si=Qigxv3o7wcyf1I8LKula chuma hicho Mtopolo. Ndio maana kikaitwa kifaru
Prince Dube sema tu yuko AzamKama kumewahi kuwa na Striker wa kigeni hatari kama Kagere nikumbushwe. Hakuna cha kusubiri azoee ligi wala nini. Halafu jitu la kazi halina shobo na media wala ulimbukeni wa kulewa sifa
Binafsi sikuwahi kuwa na shaka na Meddie Kagere kwa sababu moja kuu, Mk14 alikuwa akitumia natural power mara kadhaa amekuwa akijua kazi yake ya kujiweka kwenye position! Namfananisha na Chicharito enzi zake akiwa Man U! Yaani pasi inapigwa unakutana na Kagere! Safi sana.Prince Dube sema tu yuko Azam
Michael FreddyKama kumewahi kuwa na Striker wa kigeni hatari kama Kagere nikumbushwe. Hakuna cha kusubiri azoee ligi wala nini. Halafu jitu la kazi halina shobo na media wala ulimbukeni wa kulewa sifa
Weka namba za DubePrince Dube sema tu yuko Azam