Ngoja mkeo takapoenda seminar ya kikazi mkoani Arusha na kabaridi kale kwa wiki then akakutana na ex boyfriend wake kwenye hilo kongamano then akamualika nyama choma pale matongee na bia mbili tatu au a bottle of wine ndo utajua kwa nini tunaona ni bora kujipatia wako wa kupooza moyo kwani itapunguza machungu. Labda huwajui the so called women! Imagine kila ex wako ukikutana nae huwa inakuwaje? Ndo ujue na mkeo akikutana na ex wake anafanywa kitu gani!
ratio hairuhusu ksb ya sasa ni 5:1 sasa ukisema 1:1 wanawake wengine watakuwa hawalambwiAsante kakangu. Mbona wifi yangu atapata raha, mume mstaarabu na mawifi wa kishua!Ngoja cheaters waamke manake saa hizi wanakimbia kuvalia soksi kwenye magari manake walirudi home midnite!
telitaibi,too bad for u,u have to do something!
ratio hairuhusu ksb ya sasa ni 5:1 sasa ukisema 1:1 wanawake wengine watakuwa hawalambwi
Hapa cha msingi wote wake kwa waume tuwe na hofu ya MUNGU tutashinda majaribu, lakini mkikaa kutusema sisi wanaume tu haitoshi kama nanyi hamjatulia, ninyi mkijiheshimu nadhani hata sisi tutaona aibu kuwavulia vibukta vyetu.