Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu umekua ni msimamo wangu kama MWANAUME.Yeyote anetoa haki ya mke wake kwa mwanamke mwingine hafai kuitwa mume.Haiwezekani Mungu akuumbe na kukupa sifa nyingi na mamlaka yote ya kuisimamia jamii halafu ufanye jambo la kijinga namna hii.MWANAUME anaridhika na mkewe na anamheshimu mkewe.Hata mke huyo anajisikia fahari kumtambulisha kwa rafikize.Siyo kila mwanamke anaujua utupu wako una urefu gani,yaani anakuona kama hujavaa vile.Yanini raha ya mkeo uigawe hovyo hovyo?Enyi wanawake mkimgundua mwanaume wa aina hii,mkimbie hakufai!Tafadhali wanaume tujiheshimu!
Mwanadam ana hekima nyingi sana kama atataka kuzitumia,lakini anaweza kuwa mjinga sana akitaka pia!
Huu umekua ni msimamo wangu kama MWANAUME.Yeyote anetoa haki ya mke wake kwa mwanamke mwingine hafai kuitwa mume.Haiwezekani Mungu akuumbe na kukupa sifa nyingi na mamlaka yote ya kuisimamia jamii halafu ufanye jambo la kijinga namna hii.MWANAUME anaridhika na mkewe na anamheshimu mkewe.Hata mke huyo anajisikia fahari kumtambulisha kwa rafikize.Siyo kila mwanamke anaujua utupu wako una urefu gani,yaani anakuona kama hujavaa vile.Yanini raha ya mkeo uigawe hovyo hovyo?Enyi wanawake mkimgundua mwanaume wa aina hii,mkimbie hakufai!Tafadhali wanaume tujiheshimu![/QUOTE ]
sasa sisi tuliopata magubegube na watoto tunao tunakimbiaje hapo
Don't worry,as u knw me,mimi sio mtu wa mafujo mpenzi.Wisdom is better than silva an gold!
Huu umekua ni msimamo wangu kama MWANAUME.Yeyote anetoa haki ya mke wake kwa mwanamke mwingine hafai kuitwa mume.Haiwezekani Mungu akuumbe na kukupa sifa nyingi na mamlaka yote ya kuisimamia jamii halafu ufanye jambo la kijinga namna hii.MWANAUME anaridhika na mkewe na anamheshimu mkewe.Hata mke huyo anajisikia fahari kumtambulisha kwa rafikize.Siyo kila mwanamke anaujua utupu wako una urefu gani,yaani anakuona kama hujavaa vile.Yanini raha ya mkeo uigawe hovyo hovyo?Enyi wanawake mkimgundua mwanaume wa aina hii,mkimbie hakufai!Tafadhali wanaume tujiheshimu!
He he he, Kaunga kashikwa kirahisi kama njiwa pori kwa mtama wa kibaba.
Hapo pekundu pamenihusu sana, leo nakuletea ofisini tena mchana.
Usijaribu kunisemea kijana!Halafu ungejua. . . . !