heheheh! eiyer njo umsikie huyu eti urijali unapimwa kwa kuwa na wwanawake wengi. Lol kuna mwenzenu kateguka ub... kwasababu hiyo ngoja nyie mvunjike kabisa. kisa kutoboa toboa. mashimo mengine yana mwamba ohooo! shauri yako.
Utafiti wa kisayansi umethibitisha kuwa endapo mwanamme hatatoka nje ya ndoa, basi mkewe ni lazima atoke. Sasa basi, ili mamsapu wangu asitoke, acha tu mi nijisevie nje huko mtoto wa watu asije kutenda dhambi bure.heheheh! eiyer njo umsikie huyu eti urijali unapimwa kwa kuwa na wwanawake wengi. Lol kuna mwenzenu kateguka ub... kwasababu hiyo ngoja nyie mvunjike kabisa. kisa kutoboa toboa. mashimo mengine yana mwamba ohooo! shauri yako.
Utafiti wa kisayansi umethibitisha kuwa endapo mwanamme hatatoka nje ya ndoa, basi mkewe ni lazima atoke. Sasa basi, ili mamsapu wangu asitoke, acha tu mi nijisevie nje huko mtoto wa watu asije kutenda dhambi bure.
Kongosho,bahati nzuri babu yangu alikua na mke mmoja,baba yangu hakuwahi kuwa na wake wawili at the same time.Najua ninazungumza nini.Apart from that,najua Mungu ameniumba nikiwa mkamilifu,hata kama ningekua nimekulia kwenye malezi mabaya kiasi gani,upendo nilionao ni kwaajili ya mmoja peke yake.Unafikiri kama mwanadamu angekua hawezi Mungu angeahidi kibano kwa wazinzi?Wazinzi wanatafuta sababu ya kuhalalis uzinzi wao,lakini nakuambia litabaki kuwa tendo la hovyo na ni kujidhalilisha kwa mwanadamu.Huwezi kuwa kama ng'ombe bana.Hizo kauli za heri shetani nimjuae kuliko malaika nisiemjua ni kauli za kujifariji,shetani ni shetani hata awe vipi!
Here we go....! Great Thinker!!Eiyer umeoa?
Utafiti wa kisayansi umethibitisha kuwa endapo mwanamme hatatoka nje ya ndoa, basi mkewe ni lazima atoke. Sasa basi, ili mamsapu wangu asitoke, acha tu mi nijisevie nje huko mtoto wa watu asije kutenda dhambi bure.
Here we go....! Great Thinker!!
Ngoja tusubiri majibu yake.
Chauro, ulikuwa wapi siku zote? Watu wanazungumzia mahusiano ya kusadikika hapa... yaani kitamthilia flani hivi. Ndo maana nikawaambia wakue kwanza wayaone.
Utafiti wa kisayansi umethibitisha kuwa endapo mwanamme hatatoka nje ya ndoa, basi mkewe ni lazima atoke. Sasa basi, ili mamsapu wangu asitoke, acha tu mi nijisevie nje huko mtoto wa watu asije kutenda dhambi bure.
Mimi bana mimi.....MMh, unadhani hiyo ya babu na baba kuoa mke mmoja inatosha kukutenga na jamii ilioyokuzunguka?
Ukiingilia kwenye mambo ya imani, muulize Mfalme Daudi hadi aliua Jemedari wake ili aoe mkewe na bado aliongoza taifa la Mungu.
Njoo mfalme Suleiman, alioa wanawake lukuki na masuria juu, bado alipewa heshima ya kujenga hekalu.
Tena ukiingiza mambo ya imani, inakuwa more 'complex' maana kuna watoto watoto waliozaliwa nje ya ndoa na wakatazwa kuwa manabii (kama kumbukumbu yangu ni sahihi Jeremiah-zao la zinaa, na biblia inasema wazi Jer 1:5 Kabla sijakuumba nalikujua . . .) Hapo hapo, ukiangalia yule aliyezaa Daudi kwa mke wa mtu alikufa
Kama ni dhambi, hata wizi, uongo n.k, kwa nini mkazo ni kwenye zinaa tu? Selfishness na kulinda Interests, Period!
Kama sayansi inasema hayo to hell,Mungu alieniumba anasema NAWEZA na NINAWEZA!
Utafiti wa kisayansi umethibitisha kuwa endapo mwanamme hatatoka nje ya ndoa, basi mkewe ni lazima atoke. Sasa basi, ili mamsapu wangu asitoke, acha tu mi nijisevie nje huko mtoto wa watu asije kutenda dhambi bure.
Sipati thawabu yoyote. Ila ni bora niikose kuliko milume inikongomelee mai waifu asee....hahahaha wewe kutoka nje unapata thawabu?
Kuna Basi moja linaitwa Meridian.... Nyuma limeandikwa: Ni utoto tu, Akikua ataacha.....Babu (Asprin) siku hizi hata nguvu za kuongea zimeisha ndio maana hunioni mjukuu wako,macho na masikio yanaona na kusikia mengi mpaka yameanza kuingia uchakavu.
HAKUKOSEA ALIYESEMA KUA UYAONE!!!!
Jibu liwe a au b,stick to the mada,mtoa mada ameshaeleza msimamo wake!
Hao wanaolambwa huwa ni akina nani? Si wake za watu pia? Kwanini aibu iwe upande mmoja? Kuna wake za watu siku hizi wanatongoza wanaume kama hawana akili nzuri. Au ukimtania tu keshakukubalia. yaani tuseme tu dunia hii hivi sasa ni balaa tupu! Eiyer anasema yeye hatajaribu, lakini atashangaa na roho yake atakapojua kwamba mkewe anagawa hadi kwa wauza mkaa hapo mtaani kwake. Ni jambo la kawaida tu hilo. Ukiona mme ametulia, basi mke kipanga and the vice versa.
Hahahaha...........:clap2:hata wengine tulikuwa na misimamo kama jiwe la chumvi ukituuliza leo imeyeyukia wapi hatuwezi kukujibu.
Kampeni yenu itashindwa.
Mwanaume rijali hawezi kuwa na mwanamke mmoja bana!
:majani7: