Huna maana hata iweje. . .

i thought you were smart enough kujua threads za kutongozea zikoje
but wewe 'umeingia mkenge uso kwa uso'
dah

Ha ha ha, halafu ninafurahia sana kuwa ndani ya mkenge! Umeona Kongosho alivyonipiga madongo.
 
Last edited by a moderator:

well said, what shall we say?
 
telitaibi,too bad for u,u have to do something!
 
hapa utaona wale maplay boys hawatai-like thread hii kisa inawagusa! tena wamuogope na Mungu wao maana ni dhambi kubwa sana sijui mtu utajijibu nini siku ya mwisho ukiitwa kwa Mugnu baada ya kufa kwako...ukijaaliwa kuoa tulia kwa mke wako upata baraka za Mungu wako. Nimeipenda sana hii thread.
 
He he he, Kaunga kashikwa kirahisi kama njiwa pori kwa mtama wa kibaba.

Hapo pekundu pamenihusu sana, leo nakuletea ofisini tena mchana.

Wewe nenda tu, ukagongane na his new girl Meritta tena nasikia last weekend alimpeleka visiwa vya Sheli sheli.
Najua unajiplease kwa kuwa hujaweza mnasa my Eiyer, halafu hujaona The Boss sounds very bitter baada ya kumbwaga for not so 'alpha male'.
 
Last edited by a moderator:
Hao akina wanaokula kwa kujificha hawaninyimi usingizi, wananisaidia siku niko 'blocked'
Huna habari nimejifungua? Lazima apige pige nje asije pata kutu bure

Bitter? you are imagining things, jipe moyo.

Eiyer for me? No please, he is too much of a 'baby husband'

Wewe nenda tu, ukagongane na his new girl Meritta tena nasikia last weekend alimpeleka visiwa vya Sheli sheli.
Najua unajiplease kwa kuwa hujaweza mnasa my Eiyer, halafu hujaona The Boss sounds very bitter baada ya kumbwaga for not so 'alpha male'.
 
he mukitokea kama nyinyi kumi tu ,basi u can change the world
 
Wewe nenda tu, ukagongane na his new girl Meritta tena nasikia last weekend alimpeleka visiwa vya Sheli sheli.
Najua unajiplease kwa kuwa hujaweza mnasa my Eiyer, halafu hujaona The Boss sounds very bitter baada ya kumbwaga for not so 'alpha male'.

Eeeeh kaunga mamy usijali kongosho hanipoli The Boss wangu maana haniweza kwa lolote
 
Usijaribu kunisemea kijana!Halafu ungejua. . . . !

Ngoja mkeo takapoenda seminar ya kikazi mkoani Arusha na kabaridi kale kwa wiki then akakutana na ex boyfriend wake kwenye hilo kongamano then akamualika nyama choma pale matongee na bia mbili tatu au a bottle of wine ndo utajua kwa nini tunaona ni bora kujipatia wako wa kupooza moyo kwani itapunguza machungu. Labda huwajui the so called women! Imagine kila ex wako ukikutana nae huwa inakuwaje? Ndo ujue na mkeo akikutana na ex wake anafanywa kitu gani!
 
Unayosafari ndefu ya kuelewa uhusiano kati ya ngono na mapenzi.

Mwanaume kufanya ngono wakati mwingine haimaanishi hampendi mke au familia yake.

Utakuja kuwaacha wengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…