Dr wa Kaliua
JF-Expert Member
- Sep 20, 2020
- 1,634
- 3,833
Mkuu usipoteze watu kwenye ramani za mafanikio.Kufanya kazi kwa bidii haijawahi kuwa njia sahihi usijidanganye wala hiyo ya pili uliyoitaja
Nimekaa hapa na shida zangu natafakari jinsi ya kujikwamua halafu nakutana na uzi kama huu. Vibaya hivyoAbeee
Kuna watu wanafanya kazi mpaka unawaonea huruma imagine akikaa siku mbili hana kazi anayumba vibaya sana then kuna hawa wanaokesha makanisani na kubebelea maji na mafuta daily lakini ukiwaangalia dah, maisha haya ni fumbo zitoMkuu usipoteze watu kwenye ramani za mafanikio.
Njia rahisi ni ipi sasa?
Saidia Dunia.
Kweli kabisa mkuuKuna watu wanafanya kazi mpaka unawaonea huruma imagine akikaa siku mbili hana kazi anayumba vibaya sana then kuna hawa wanaokesha makanisani na kubebelea maji na mafuta daily lakini ukiwaangalia dah, maisha haya ni fumbo zito
PoleNimekaa hapa na shida zangu natafakari jinsi ya kujikwamua halafu nakutana na uzi kama huu. Vibaya hivyo
[emoji23][emoji23]Lione
Beti kwa bidii huku ukimshirikishi MunguAisee...!
Hivyo Ndo Kusema Kushinda kutwa mzima Kwenye Kubet ni Kupoteza Muda..?
Mwamba huyu hapaBeti kwa bidii huku ukimshirikishi Mungu
Mi naona haya maisha kuna connection flani unatakiwa upate ili utoboe, hata moja tu inayoeleweka kama una akili unatoboaKweli kabisa mkuu
Sasa kwa maoni yako! Ipi alternative?
Aisee bado fumbo kubwa.Mi naona haya maisha kuna connection flani unatakiwa upate ili utoboe, hata moja tu inayoeleweka kama una akili unatoboa
Mkuu njia ni zipi sasa?Hizo njia ni zakuunyenyekea umasikini et muombe mungu,endelea kuomba tutakukuta hapohapo
Yaani unakutana na mtu anakuambia kuna ishu ya magari nafanya twenzetu ukashinde pale hukosi hela ya kula, unaenda unasaidia unapata commission zako laki nne tano maisha yanakuendea in the meantime kuna mtu anabeba zege asubuhi hadi jioni anapewa 20k, hiyo ni connection na bahati piaAisee bado fumbo kubwa.
Connection??
Aisee kama ulivyosema mafanikio ni fumbo
aiseeAbeee
Roho ngumu,ukatili,kujitoa muhanga,punguza nduguzo au kata keki ya taifaMkuu njia ni zipi sasa?