Huna mtaji? Hii hapa njia ya haraka kupata utajiri

Huna mtaji? Hii hapa njia ya haraka kupata utajiri

Dr wa Kaliua

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2020
Posts
1,634
Reaction score
3,833
Leo ni leo.

Leo nimeamua kuweka ukweli wote wazi mbele yenu.. Kwanza uzi za maana watu mnakuwa wagumu kujibu ila nyuzi za hela na mafanikio ya haraka mnakuwa wa kwanza.

Haya siri ni kama ifuatavyo. Hakuna njia ya mkato ya mafanikio fanya kazi kwa bidii mshirikishe Mungu sana. Utakuja kunishukuru.
 
Kufanya kazi kwa bidii haijawahi kuwa njia sahihi usijidanganye wala hiyo ya pili uliyoitaja
Mkuu usipoteze watu kwenye ramani za mafanikio.
Njia rahisi ni ipi sasa?

Saidia Dunia.
 
Mkuu usipoteze watu kwenye ramani za mafanikio.
Njia rahisi ni ipi sasa?

Saidia Dunia.
Kuna watu wanafanya kazi mpaka unawaonea huruma imagine akikaa siku mbili hana kazi anayumba vibaya sana then kuna hawa wanaokesha makanisani na kubebelea maji na mafuta daily lakini ukiwaangalia dah, maisha haya ni fumbo zito
 
Kweli kabisa mkuu
Sasa kwa maoni yako! Ipi alternative?
 
Mi naona haya maisha kuna connection flani unatakiwa upate ili utoboe, hata moja tu inayoeleweka kama una akili unatoboa
Aisee bado fumbo kubwa.
Connection??
Aisee kama ulivyosema mafanikio ni fumbo
 
Aisee bado fumbo kubwa.
Connection??
Aisee kama ulivyosema mafanikio ni fumbo
Yaani unakutana na mtu anakuambia kuna ishu ya magari nafanya twenzetu ukashinde pale hukosi hela ya kula, unaenda unasaidia unapata commission zako laki nne tano maisha yanakuendea in the meantime kuna mtu anabeba zege asubuhi hadi jioni anapewa 20k, hiyo ni connection na bahati pia
 
Back
Top Bottom