Huna mtaji? Njoo tufanye biashara ya real estate

Good Neighbour

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2017
Posts
942
Reaction score
897
Biashara hii itakupa majibu ya kwanini uache;
KUKAA MTAANI,KUBET,FOREX TRADING,BITCOIN,ONLINE BUSINESS ISIYO NA TIJA NA PENGINE KUACHA KUAJIRIWA

REAL ESTATE NI NINI?
Real estate ni biashara inayohusisha ununuzi au uuzaji wa viwanja,mashamba,nyumba pamoja na property evaluation,n.k ila niko based na uuzaji pamoja na ununuaji.ikiwa ni biashara ya uhakika,yenye soko kubwa kwa sasa(researched data) hasa katika mkoa wa Dodoma.unaweza kufanya kama realtor(real estate agent/wakala) au broker ukapata commission ambayo ikakusaidia kufungua kampuni!!!unaweza fanya project moja tu na ikakupa breakthough(mtaji wa kufungulia)

KWANINI USHIRIKIANE NA MIMI TUWEZE KUFIKA MBALI PAMOJA?

1.Nina uzoefu mkubwa wa masoko,namna ya kuendesha biashara hii pamoja na kufahamiana na watu muhimu katika idara mbalimbali tunaowahitaji katika kazi yetu.ikiwa ni kurahisisha kazi,gharama na kufanya kazi katika ufanisi wa hali ya juu

2.Nimeandaa a solid business plan ambayo iko vizuri na imeeleza kwa kutumia takwimu na kwa kuchimba kwa kina mahitaji ya kufungua kampuni,mtaji wa kuemdesha kampuni,faida,changamoto,management team,n.k

3.Ili kuonyesha hii kazi sio BLAA BLAA ila ni KWELI kuna bank slips nitazokuonyesha na idadi ya projects nlizokwishafanya na kiasi cha pesa nilichoingiza.

NAHITAJI MTU WA AINA GANI?

Mtu makini,committed,self motivated,solid,elimu na uzoefu sio vigezo kwangu.

REMEMBER

----If you want to be successful just ask yourself the following four(4) questions
1.WHY? 2.WHY NOT? 3.WHY NOT ME?
4.WHY NOT NOW?

----Stop wishing for if wishes were horses beggars would ride,walk your TALK

-----Amka sasa usisubiri kuwa motivated,inspired,mentored pengine hao wanaokufanyia hivyo wanafanya biashara au hawakuwahi kuwa na watu wa kuwamotivate,inspire or mentoring them.wake up and be your own motivation,inspiration and mentor.

Weka blaa blaa,woga,aibu,calculating risks kupita kiasi,listening to wrong people,kukata tamaa kando njoo tufanye kazi.

0767833496/0622111186
0785641218/0659605358
 
Eleza kitu cha kueleweka usitake tupoteze credit zetu kukupigia.Weka chapisho hapo tukuelewe.Unadhani nani atakuelewa kwa maelezo hayo.Tutajua tu ni utapeli.
The minute nimepost,the same minute iko replied.sidhani kama umepata muda wa kutafakari kwa kina!!Hii black race imejaa hatred and never supportive.
Long threads huwachosha watu,pengine ni chapisho lipi ulilotaka niliweke hapa?
Eleza kitu cha kueleweka usitake tupoteze credit zetu kukupigia.Weka chapisho hapo tukuelewe.Unadhani nani atakuelewa kwa maelezo hayo.Tutajua tu ni utapeli.
 
You no nothing about R.E kama unafikiri ni biashara ya kununua na kuuza mashamba , nyumba au viwanja tu!!

Yaani una ka idea tu na hujui the circle matrix ya biashara nzima ikoje..do your homework kid
Thank you,keep you hate growing while i'm making money.I based kwenye nachofanya and not the whole circle,use Logical approach(Think systematically).
You're nothing but a parrot who makes noises but cant fly
 
Hahahaha,unapoteza tu muda wako kutukana na kujishushia hadhi na naamini nakuzidi umri.i'm a king by blood and soldier by nature!!Hakuna utakachoongea kuhusu real estate nisijokichua.
Pengine nkwambie tu "Diamond doesnt stop being a diamond and become a regular rock because someone cant see it's value or cant afford it,it remains a treasure.And to cut a diamond you need a diamond,i'm that solid so dont waste your time.You can just take your ball
 
Usichafue biashara za wengine ili kutangaza yako!!

Hii ni njia ya miaka ya sabini na haitumiki miaka hii kwenye ulimwengu wa biashara za kisasa!! Wake up!!
 
Me hata sioni hata point yako mkuu, kwan kunashida gan kuwa dalali?Yeye ni dalali ndio, ndo maana kashare nasi km mtu anaweza kifanya afanye kwakuwa yeye inamlipa. Ww unataka uwe investor? Ukiogopa risk huwezi fanikiwa, ndo maana wasomi wengi wanashindwa kifanya yao wanaenda kuajiliwa na watu wasio soma kwasababu ya ujinga wao. Diamond alipokua anaimba wasomi wakasema anaacha shule anaimba imba, kafanikiwa wasomi hao hao navibahasha wanaomba kazi, mzee bakhressa kipindi anauza mikate wakasema kazi za wasiosoma, saiz ndo anawaburuza. Wasomi hawa wa Africa ni wajinga ndo maana nchi haziendelei, mtu anaweza fanikiwa kwa chochote ambacho ataweza fanya kwa bidii na maarifa. Kuna madalali posta hapo wanamaisha mazuri, ukipata chanel tu na connection.:-:-
 
Mtazamo wangu:
Hili ni tangazo la biashara kama yalivyo matangazo mengine tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…