Hunger alert in Kanya as Zambia 2018 maize output to fall about 34 percent - government

Takwimu Sahihi ni Kenya ana reserve ya 8.85 billion dollars naTanzania ana 5.18 billion dollars , Sasa kwamba wote tutakufa baada ya miezi mitano kama ndiyo akiba ya kuweza kuimport kwa nchi zote,Mimi siwezi kuongelea kitu hakijatokea tangu ulimwengu uumbwe( nchi iangamie kwa njaa kwa kukosa foreign reserve ) maana kuna mambo yatafanyika ili hill lisitokee. Hoja hapa ni yupi ana foreign reserve nyingi. Unaweza ukute nchi hata Italia aufano halisi Greece hana reserve ya miezi mitano lakini haiondoi ukweli kuwa wale ni kweli wamefilisika lakini hawajawa na maisha duni kama sisi Wa dunia ya tatu kwavigezo kama miundo mbinu yao, health care yao. Nk. Wewe unapoambiwa kuwa bajeti ya Kenya mwaka 2018 inazidi ya nchi tatu , Tanzania, Uganda, na Rwanda zote zikijumlishwa unaelewaje hiyo statement?. Hata Tanzania alikuwa tajiri kuliko Kenya hadi 1984 ndipo waliinuka kutuzidi hopefully huko mbeleni twaweza kuwazidi maana uchumi si kitu stagnant. Hamna anayefurahia kuzidiwa na Jirani kwa jambo lolote linalohusu maisha bora, lakini mwenzio akiwa mbele wewe ni kukiri tu halafu unaichukua kuwa ni changamoto ufanyeje ili umpite.
 
mi naona blah blah blah tu hapo,
hv unatumi kigezo cha bajeti km ndo main indicator ya kujua utajiri wa nchi,
Kenya wanaweza wakawa wana bajeti kubwa kuliko wote in East Africa ila wameelekeza ktk recurrent expenditure, wakati TZ wakawa na bajeti ndogo wakawekeza ktk development km kutoa elimu bure, kukuza viwanda, kuboresha miundo mbinu km ya ndege, reli na bandari...
umefikiria very cheap, afu uzalendo sio kupinga ukwel,
km nchi inakua kiuchumi na ukasema inakua pia ni sehem tu ya uzalendo.
 
Toa figure Kenya anatumia kiasi kwa maendeleo na Tanzania anatia kiasi kwa maendeleo. Kama hujui omba msaada tutagoogle ujue ila Nina waswasi utaendelea kutoa hoja dhaifu bila takwimu .jitahidi usome kuhusu mada mwenye source credible. Unanikumbusha kiongozi mmoja aliambiwa na watu kuwa Kenya wanazalosha chai nyingi kuliko Tanzania ,jibu akasema ni uongo wakenya wanacook figures ,kwanza Tanzania tuna Ardhi kubwa. Sasa hapo kama ni kiongozi ngazi ya katibu mkuu Wa wizara were mdogo utabishia mkuu si utaonekana we mdogo ni huna adabu kwa hapo ndipo tumefika kiasi kuwa hatuwezi hata vichwa kujua facts watz?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…