babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 11,632
- 29,912
Namuona anaendelea kujifurahisha hapa [emoji23][emoji23][emoji23]
Achana na huyu aliyebakiwa na akili ya kuvuka barabara na kurudi nyumbani.
Ukimuona akichukua nguo zako wakati unaoga mtoni, usijaribu kumfukuza, muache tu.
🙂 [emoji1787] 😛