Mbolabilika
JF-Expert Member
- Jul 30, 2019
- 2,128
- 2,867
Na walaaniwe kwa kuombea TZ mabaya uzuri wa Tanzania kila mkoa unajilisha mfano kwetu pwani tunalima mpunga, mihogo, mahindi, nyanya ,bamia, viazi, na zao la biashara ufuta na korosho Sasa karibu kila mkoa Tanzania upo hivi njaa hiyo inatoka wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mchele kilo tsh. 1000. Viazi kibao gunia 9000. Mahindi debe 8000.
Hiyo njaa inatoka wap?
Sent using Jamii Forums mobile app