M Mbolabilika JF-Expert Member Joined Jul 30, 2019 Posts 2,128 Reaction score 2,867 Apr 27, 2020 #101 Na walaaniwe kwa kuombea TZ mabaya uzuri wa Tanzania kila mkoa unajilisha mfano kwetu pwani tunalima mpunga, mihogo, mahindi, nyanya ,bamia, viazi, na zao la biashara ufuta na korosho Sasa karibu kila mkoa Tanzania upo hivi njaa hiyo inatoka wapi? VON BISMACK said: Mchele kilo tsh. 1000. Viazi kibao gunia 9000. Mahindi debe 8000. Hiyo njaa inatoka wap? Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Na walaaniwe kwa kuombea TZ mabaya uzuri wa Tanzania kila mkoa unajilisha mfano kwetu pwani tunalima mpunga, mihogo, mahindi, nyanya ,bamia, viazi, na zao la biashara ufuta na korosho Sasa karibu kila mkoa Tanzania upo hivi njaa hiyo inatoka wapi? VON BISMACK said: Mchele kilo tsh. 1000. Viazi kibao gunia 9000. Mahindi debe 8000. Hiyo njaa inatoka wap? Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Tlg JF-Expert Member Joined Apr 3, 2017 Posts 804 Reaction score 611 Apr 29, 2020 #102 Khalifavinnie said: Msingi kizota,pale dodoma sec sangu hapo mbeya,chuo tosamaganga iringa. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Tosamaganga chuo kipi wewe mbona unadanganya ?? Sent using Jamii Forums mobile app
Khalifavinnie said: Msingi kizota,pale dodoma sec sangu hapo mbeya,chuo tosamaganga iringa. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Tosamaganga chuo kipi wewe mbona unadanganya ?? Sent using Jamii Forums mobile app