Hunger stricken LDC Kenya given food aid by China

Unapenda kubisha sana. The fact remains hamuipiku Kenya na Uganda kwa innovations
Pwahaha!! Kenya mnajulikana kwa kuongea saana utendaji zero. I told you to show me ur technologies.
Hapa tunaongelea mchele wa msaada toka china
 
Pwahaha!! Kenya mnajulikana kwa kuongea saana utendaji zero. I told you to show me ur technologies.
Hapa tunaongelea mchele wa msaada toka china
Acha zako wewe. Tanzania mna kila kitu ila nyie ndio mnaongoza kwa ufukara afrika mashariki na kati. Lazy bones
 
Acha zako wewe. Tanzania mna kila kitu ila nyie ndio mnaongoza kwa ufukara afrika mashariki na kati. Lazy bones
Pwahahaha!! Umaskini wa kukosa basic needs kama chakula na kuomba msaasa kwa wanaume tunaweza kuutaje!?
Shughulikieni kwanza masuala ya chakula ndio muongee na sisi.
 
Mnakuja hapa jukwaani mkiwa na njaa, ndiyo maana mna hasira ya kutukana hovyo.
Ahaaa haaaa
 
Pwahahaha!! Umaskini wa kukosa basic needs kama chakula na kuomba msaasa kwa wanaume tunaweza kuutaje!?
Shughulikieni kwanza masuala ya chakula ndio muongee na sisi.
Kama wewe ni msomi kwa jinsi unavyojigamba humu basi unaelewa kwamba nusu ya Kenya ni jangwa tofauti na bongo. Nimewaonya dhidi ya kuwacheka wengine. Mliwacheka wakenya bwawa lilipokata na kuwaua watu 40+.huko kwenu watu 220 walifariki kisa kuzama baharini. Kama wewe ni mwerevu basi unanielewa. Jalali halali. Unachofanyia mwenzako ujue Mungu anakuona. Malipo ni hapa duniani. Ni vizuri kuwa mnyenyekevu. Bad luck happens to everyone
 
Kuwa mpole. You claim you are so educated. Highlight 10 countries in Africa which are most technological ly
Advanced
I am calm, highlight ya nini, just tell me apart from assembling computers that you enjoy to boast about and yet can't sell anywhere except for within yourselves( we have Nordic by the way), what have you technologically innovated and sells outside?
 
Sasa unamlilia nani hapa!? Egypt ni jangwa nchi nzima mbona sio ombaomba kama nyie
 
Sasa unamlilia nani hapa!? Egypt ni jangwa nchi nzima mbona sio ombaomba kama nyie
Tumeomba nini? Wewe na kadada hutuma walemavu kutoka tz kuja kuombaomba Kenya halafu mnakesha hapa mkitusimanga. Mnawatumia hao walemavu vibaya sana
 
I am calm, highlight ya nini, just tell me apart from assembling computers that you enjoy to boast about and yet can't sell anywhere except for within yourselves( we have Nordic by the way), what have you technologically innovated and sells outside?
Kwani we do it to please others
How about the mobile tech revolution.
Or you want to tell us that mpesa was started in Tanzania?
 
Msaada wa mchele. Duh hii ni hatari sana. Yaani hii karne ya Sayansi na Teknolojia unapewa msaada wa mchele!!?
Tatizo un wamei rank tanzania km ina maskini wengi...30ml..imagine...badala ya kupewa aid ya flyover...si mngelipewa hyo pesa mununue madiwani ndo huyo mnayemuabudu azidi kuwa na nguvu... πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…