Hunger stricken LDC Kenya given food aid by China

Hunger stricken LDC Kenya given food aid by China

Twitter-How-I-feel-after-eating-713d75.png

Tanzania watching the rest of Africa overtake... Ghnana washapita.. many more next
 
Hawa jamaa hawatembeli vijij vyao wanaishi Nairobi wakifikiri nchi nzima iko kama nairobi. Huko kaskazini kwao kuna watu wanakula majani na mizizi

Sio majani na mizizi huko Turkana watu wana survive kwa maziwa ya mbwa. Kama kuna MKenya wakubisha abishe na hili
 
wana njaa kali sana, halafu ndo wanatuita sisi wavivu. Nilikua nasoma kitabu cha HM Stanley, swala la chakula bongo bwana kumbe ni tokea enzi za machifu. Anasema alikuta mashamba yamelimwa vizuri kweli toka Zanzibar kuelekea Kigoma. Na machief wanauza chakula kwa wapita njia. Tupo vizuri sana.

Hawa jamaa wamekuwa rank up kwa sababu tu ya wazungu wachache na mafisadi wachache wenye fungu ka kutosha wanaishi pale nairobi. Ni maskini wa kutupwa hawa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hawa jamaa wamekuwa rank up kwa sababu tu ya wazungu wachache na mafisadi wachache wenye fungu ka kutosha wanaishi pale nairobi. Ni maskini wa kutupwa hawa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
huko kaskazini kwao watu wanakufa njaa kama wapo vitani aisee
 
Aha aha aha Jana tu nimeona wa Kenya wakiongea BBC kuhusu nchi yao kukopa fedha nyingi uku hawana uwezo wa kurejesha tena wamekopa CHina ili sijui wajenge miradi km SGR sasa wachina simnawajua hawana cha Human Rights wala democracy wao ukishindwa lipa wanachukua kitu sasa subirini wachukue Whitehouse ndo mtajua mmeuzwa
 
Kama wewe ni msomi kwa jinsi unavyojigamba humu basi unaelewa kwamba nusu ya Kenya ni jangwa tofauti na bongo. Nimewaonya dhidi ya kuwacheka wengine. Mliwacheka wakenya bwawa lilipokata na kuwaua watu 40+.huko kwenu watu 220 walifariki kisa kuzama baharini. Kama wewe ni mwerevu basi unanielewa. Jalali halali. Unachofanyia mwenzako ujue Mungu anakuona. Malipo ni hapa duniani. Ni vizuri kuwa mnyenyekevu. Bad luck happens to everyone
Mbona ardhi ya kulima miraa mnayo? What a stupid excuse, Israel is desert as well but donated food to Kenya Last year, Remember?
Yaani Mkenya na njaa ni kama chupi na K,
 
Kenya wapuuzi kabisa hawa, eti LDC, mtakufa na njaa kwa, Hivi mtu mvivu anaweza kuwa na Chakula? Na uvivu mnatuitia tuna chakula!!! Hatuna njaa.
 
Mbona ardhi ya kulima miraa mnayo? What a stupid excuse, Israel is desert as well but donated food to Kenya Last year, Remember?
Yaani Mkenya na njaa ni kama chupi na K,
Mbona nyie mpo LDC licha ya kuwa na raslimali nyingi? Jibu hilo kwanza
 
I thought mwenye mada alikua anamaanidha hatuna uwezo wa kununua what we need., ingekua Tz je? hamuna uwezo ata wa kusaidia your fellow ldc poor neighbours like Malawi etc., u lack ability to donate anything, Geza Ulole check yourself before kuropokwa ovyo ovyo.
 
rice being so cheap in Tanzania, I personally will donate 10 gunias to your government if they kiss my hand and bow down
 
Wataelewaje wakati wana mentality ya kumuabudu mzungu??

Very poor species in East Africa.
Well said
Wanaabudu watu weupe wote, muhindi ndio usiseme, sasa mchina, hakika yajayo yanafurahisha walahi
Jirani afe tu walahi!
 
Back
Top Bottom