Hunger stricken LDC Kenya given food aid by China

Don't even talk about technology. Nchi yenu iko nyuma sana. Uganda are ahead of you in matters of technology.
TATIZO LA NAYANGAU WENGI HAMJIELEWI NA WALA HAMELEWI YANAYOENDELEA NCHI NYINGINE NA DUNIANI POOR KENYANS, ENDELEENI KULISHWA MCHELE, HIYO FEDHEHA HAITAKAA ITOKEE TANZANIA KATIKA HALI YA KAWAIDA, SHAME UPON YOU, MZUNGU ANA MAELFU YA MAEKARI YENYE RUTUBA KENYA, NYANGAU ANAJISIFU KUISHI SLUMS ZA KIBERA NA MANDERA
 
Well said
Wanaabudu watu weupe wote, muhindi ndio usiseme, sasa mchina, hakika yajayo yanafurahisha walahi
Jirani afe tu walahi!
MCHINA ATAWANUNUA, KWA KUPENDA VYA BUREE NA MISIFA ISIYO NA MAANA, ETI GDP KUBWA HUKU WENYE NCHI WANAKUFA NJAA, WHAT IS GDP FOR?
 
Unawashwa na nini? Kwani wakaazi wa kibera wamewahi kukuomba malazi. Si wewe unaishi na wazazi wako kwa kijumba cha tope?
 
Kenyans mock Uhuru after receiving food donations from this desert country
Mna uwezo wa kununua what you need?. You must be dreaming, Kenya is the only country in Africa that receives food aid with no civil war.
 
Acha kusingizia kwamba nusu ya Kenya ni jangwa, mbona mnaongoza kwa kulima chai na flowers, au chai mnalima juu ya mawe?. Tatizo ni uchumi wa kibepari ambapo ardhi yenye rutuba inamilikiwa na matajiri wachache ambao hawawezi kulima mahindi hayana faida.

Hata huku Tanzania kama tungeruhusu ubepari kama ninyi, ardhi yote nzuri ingekuwa mikononi mwa wachache kama ilivyo Kenya na South Africa, South Africa wanaanza kuiga Tanzania kwa kuitaifisha ardhi ili iwe mali ya serikali ili waigawe kwa wananchi, Kenya hamuwezi kwa sababu ukoo wa Kenyatta ndio wamiliki wa biashara ya sushi.
 
Bongolalaz wakiona Africa ikiwapita
 
Hujui chochote kuhusu Kenya. Nyie wabongo mmeaminishwa kwamba wakenya wanaishi kibera na turkana halafu wazungu wanamiliki hiyo ardhi nyingine. Endeleeni kuamini hivyo
 
Hujui chochote kuhusu Kenya. Nyie wabongo mmeaminishwa kwamba wakenya wanaishi kibera na turkana halafu wazungu wanamiliki hiyo ardhi nyingine. Endeleeni kuamini hivyo
Jibu hoja, kwanini mnaongoza kuzalisha chai na maua lakini chakula mnashindwa kuzalisha mnasingizia semi desert climate?
 
Jibu hoja, kwanini mnaongoza kuzalisha chai na maua lakini chakula mnashindwa kuzalisha mnasingizia semi desert climate?
Kama mlisoma jiografia na agriculture basi ungeelewa kwa nini pande zingine zinakuzwa mahindi na zingine chai.
Soma kijana
 
Kama mlisoma jiografia na agriculture basi ungeelewa kwa nini pande zingine zinakuzwa mahindi na zingine chai.
Soma kijana
Hahahahaha, ni ngumu sana kuitetea Kenya, mpo na matatizo mengi sana, ukweli ni kwamba capitalism ni sababu kuu ya matatizo ya Kenya, kila mtu anataka kujinyakulia kila kitu.

Kenya life inafanana kabisa na life in the jungle, man eat man society, you have lost conscience, nor humility at all, killings have been order of the day, money can buy lives, nearly you worship money instead of God.
Kenya has become a “bandit economy”, says Chief Justice Willy Mutunga - African Arguments
 
If that makes you happy,it's ok.
Kenyans don't live to please anyone.
Case closed
 
The poor person in kibera might be rich compared to the average poor person in Tanzania.rent in kibera goes at around 1000 to 2000ksh you can do the conversion into tanzanian shillings .
 
Tanzania still have high rate of malnutrition, Higher death rates,High infant motarity rate and high number of underweight children than Kenya but most are still leaving in denial.
 
Tanzania still have high rate of malnutrition, Higher death rates,High infant motarity rate and high number of underweight children than Kenya but most are still leaving in denial.
What do you expect from a country with a lot of illiterates. People who don't even understand the meaning of a balanced diet. Wanapatia watoto ugali kwa uji halafu spinach wanawapa sungura
 
The poor person in kibera might be rich compared to the average poor person in Tanzania.rent in kibera goes at around 1000 to 2000ksh you can do the conversion into tanzanian shillings .
Hahahahahaha, purely failed state mentality, if you are rich but you are using a flying toilet, and a poor one uses a good pit latrine, are you still rich?. Sifa za kijinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…