Hunger stricken LDC Kenya given food aid by China

What do you expect from a country with a lot of illiterates. People who don't even understand the meaning of a balanced diet. Wanapatia watoto ugali kwa uji halafu spinach wanawapa sungura
But these people feed themselves and other African countries, they are the most United and peaceful country in Africa. Unfortunately those who think are educated can't feed themselves, worse enough they kill each other because of tribalism, if education has failed to give you skills to increase food productivity, and has failed to clean you from tribalism, what is the benefit of Education?
 
Hahahahahaha, purely failed state mentality, if you are rich but you are using a flying toilet, and a poor one uses a good pit latrine, are you still rich?. Sifa za kijinga.
We still rank higher than you in access to sanitary services .Exaggeration and media propaganda will make you think that is the norm in kibera.
 
And why are your people still suffering from malnutrition despite all the food?
 
rice being so cheap in Tanzania, I personally will donate 10 gunias to your government if they kiss my hand and bow down
You are too poor to do that, saidia watoto wenyu mulnutritioned, bigger percentage in EAC.,
 
why is the death rate in Tanzania still higher that of Kenya?...despite all the things happening in Kenya.
 
Tanzania is the perfect definition of a failed state imagine having peace since independence ,having huge chunks of arable land,minerals and all natural resources at their disposal and they are still LDC.Tanzania should be a first world country but their are very lazy and delusional.
 
Hapa tutabishana sana ila ukweli ni kua huwezi kujigamba mbele za watu kua wewe ni tajiri kuliko fulani huku watoto wako wanastarve from hunger sometimes kufa kabisa.

According to Bureau of statistics Kenya's economy dominates in EAC by GDP following by Tanzania. But Tanzanian's life is far way better as compared to its rival Kenyans in terms of food security, health services to majority, water supply plus power transimmition to rural areas.

Mnaweza jitetea kua hamna fertile land for Agricultural activities, Je Israel wamewezaje kuzalisha chakula Chao??? Mbona hapa mnajinasibu nyie kua na Modern technology in EAC followed by Uganda, Swali je technology yenu ni ya nini kama haijaleta mwarobain wa kupambana na Mabadiliko ya hali ya hewa iliyoikumba nchi yenu takribani 30 yrs now??

Mnajitahidi sana kupiga kelele hapa kua ninyi ni Super power wa Afrika Mashariki ila tambueni kwa kasi hii ya Tanzania tushawasha indicator yaan tushawapita kwan mpaka sasa Kenya ndo dependant mkubwa kwa Tz.
 
Wale ni public relations, wanataka biashara hamna kotu hapo., we are not Tanzania ya wazembe kiasilia., by nature.
Vipi kuchinjana kwa sababu ya ukabila, pia ni public relations?, corruption and extrajudicial killings and Hunger isiyokwisha?
 
And why are your people still suffering from malnutrition despite all the food?
Ungekua na akili ningekufundisha sababu kubwa ya malnutrition kwa watoto, wewe umejifungia Kibera ukidhani sababu ni ukosefu wa chakula cha kutosha, in Africa taboo and believes ndio sababu kubwa
 
Ungekua na akili ningekufundisha sababu kubwa ya malnutrition kwa watoto, wewe umejifungia Kibera ukidhani sababu ni ukosefu wa chakula cha kutosha, in Africa taboo and believes ndio sababu kubwa

I don't want to stoop down to your level.You can continue to live in your delusional world.
 
Wewe kilaza nini; poverty index Tanzania poorest in EAC, power transmission you are not anywhere near Kenya, I think you should get credible data and statistics uwache propaganda za ccm za kuwapumbaza eti mpo sawa ilhali masikini wa kutupwa EAC na SADC, "tunajenga kwa pesa zetu" narrative ilhali mnakopa sana na uchumi hafifu!., kaka wacha kujifariji, fuata ukweli.
 
Hahahahahahahahahaha, failed state leads to failed brains[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Popoma mkubwa wew, don't you know that Tanzania feeds you???
 
How can an LDC country feed an MDC country? Some people need to get their facts right
Tanzania ndo nchi ya Maziwa na Asali litambue hilo Mrembo [emoji16] [emoji16] [emoji16]

Halafu huo u MDC kama sio cooked Data imekaaje ninyi tu ndo muwe mnapokea food donation kama sio failed state ni nini hiyo.
 
Tanzania ndo nchi ya Maziwa na Asali litambue hilo Mrembo [emoji16] [emoji16] [emoji16]

Halafu huo u MDC kama sio cooked Data imekaaje ninyi tu ndo muwe mnapokea food donation kama sio failed state ni nini hiyo.
I have never eaten anything called Tanzania
 
Tanzania yaongoza kuuza mahindi Kenya



MVUA kubwa zilizonyesha kuanzia Oktoba mwaka jana hadi Mei, mwaka huu zimesababisha mahindi mengi yanayotarajiwa kuvunwa nchini Kenya kuwa katika hatari ya kuwa na sumukuvu inayotokana na kuvunda baada ya kuingia maji yakiwa yamekomaa.

Hali hiyo pamoja na uvamizi wa nzige wa jangwani walioingia katika kanda zenye wakulima wengi wa mahindi yakiwemo maeneo ya Turkana na Pokot na kuharibu mazao, kumesababisha uhaba mkubwa wa chakula nchini Kenya pamoja na kupanda kwa bei ya mahindi sokoni.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo nchini Kenya, Hamadi Boga, aliwaambia waandishi wa habari jijini Nairobi juzi kuwa, katika kipindi cha kuanzia jana hadi Julai 30, mwaka huu, wanategemea mahindi kutoka Tanzania kwa sababu wakulima wa nchi hiyo wanasubiri kuvuna mahindi yao mwezi Agosti hadi Septemba, mwaka huu.

Alisema Tanzania ndio muuzaji mkubwa wa mahindi nchini Kenya na katika kipindi cha mwezi mmoja uliopita, Kenya ilipokea mahindi kiasi cha magunia milioni mbili kutoka nchini, kati ya magunia milioni 4.2 ya mahindi meupe yanayohitajika kila mwezi kwa ajili ya chakula cha wananchi.

“Wafanyabiashara wameingiza mahindi katika soko la Kenya kutoka nchi jirani kwa sababu katika kipindi cha kuanzia Juni hadi Julai 31 tutakuwa hatujaanza kuvuna mahindi labda kuanzia Agosti au Septemba mambo yatatengamaa sokoni,” alisema.

Boga alisema mbali na magunia milioni mbili ya mahindi meupe, serikali ya Kenya pia iliagiza mahindi ya njano kutoka nchini Mexico kiasi cha magunia milioni mbili kwa ajili ya chakula cha wanyama.

Alisema kuruhusu mahindi kuendelea kuingia nchini Kenya kutoka nchi jirani kutasaidia kupunguza uhaba mkubwa wa mahindi na pia kutasaidia kushusha bei ya bidhaa hiyo pamoja na unga wa mahindi katika soko.

Boga alisema taifa lake linapitia katika kipindi cha mpito kutokana na changamoto ya mvua kubwa zilizonyesha mwezi uliopita, kipindi ambacho ni muhimu kwa mahindi kukomaa na kukauka.

Kutokana na mvua hizo, Wizara ya Kilimo inaamini kuwa wafanyabiashara wengi wa Kenya watayakataa mahindi kutoka kwa wakulima wa nchi hiyo na kuendelea kuagiza mahindi kutoka Tanzania kwa sababu ya ubora na bei nafuu.

Baadhi ya wafanyabiashara wamelalamikia hatua ya serikali kuagiza mahindi kutoka Mexico, wakisema mara nyingi yanakuwa hayana viwango vilivyokubalika katika mkataba wa Jumuiya ya Afrika Mashariki.

“Mahindi kutoka katika nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki yanakuwa yamepitia katika viwango vya ubora vilivyokubaliwa katika Jumuiya ya Afrika Mashariki, lakini hayo mahindi ya njano kutoka nje ya EAC yanakuwa hayana viwango hivyo,” alisema Okiya Omtatah, ambaye ni mwahaharakati na mtetezi wa walaji wa bidhaa nchini Kenya.

Mkurugenzi Mkuu wa wafanyabiashara wa mahindi nchini, Kenya Paloma Fernandes, alisema mbali na shehena ya mahindi kutoka Tanzania ambayo tayari yapo sokoni, wanatarajia kuwa shehena nyingine itaingia nchini humo katikati ya mwezi huu.

Wiki iliyopita Waziri wa Kilimo nchini, Japhet Hasunga, aliliambia Habarileo Afrika Mashariki kuwa, kutokana na serikali kuwajali wakulima kwa kuwapatia pembejeo za kilimo kwa bei nafuu, kumewawezesha wakulima wengi kuzalisha mazao mengi yenye viwango vya kimataifa.

Alisema viwango hivyo vimekuwa vikiyawezesha mazao kutoka Tanzania kukubalika katika masoko yote katika nchi za Afrika Mashariki zikiwamo Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi na Jamhuri ya Kisdemokrasia ya Kongo (DRC).

Alisema pamoja na changamoto ya mafuriko sehemu mbalimbali na janga la virusi vya corona, wakulima wa Tanzania waliendelea kufanya kazi kwa bidii na ana amini mavuno ya mwaka huu yatakuwa mengi kiasi cha kuifanya serikali kuwa na chakula cha kutosha huku cha ziada kikiendelea kuuzwa nje ya nchi kupitia kwa wakulima.

Tanzania yaongoza kuuza mahindi Kenya


MY TAKE
Now receiving food aid from Tanzania like it always did and will always do!

#Akilizahandshake#

CC: Zigi Rizla Kafrican Depay Yosef Festo Teargass Tony254 pingli-nywee komora096 Edward Wanjala
kikihboy
nomasana, sam999, NairobiWalker, hbuyosh, msemakweli, simplemind, Kimweri, Bulldog, MK254, Kafrican, Ngongo, Ab_Titchaz, mtanganyika mpya, JokaKuu, Ngongo, Askari Kanzu, Dhuks, Yule-Msee, waltham, Mzee, mombasite gabriel, Juakali1980, Boda254, mwaswast, MwendaOmo
, Iconoclastes, oneflash, Kambalanick, 1 Africa, saadeque, burukenge, nyangau mkenya, Teen-Upperhill Nairobi, kadoda11
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…