Huogopi kumchukia ambaye hujawahi kumfahamu

Huogopi kumchukia ambaye hujawahi kumfahamu

Gervas Josiah

New Member
Joined
Nov 4, 2021
Posts
2
Reaction score
0
Mtandaoni kuna mambo Mengi sana sana. Wengine wanaichukia kisa vita yake na Palestina.

Tusi ambatanishe ubaya kwa kuambatanisha vielelezo vya dini. Hata Congo wanapitia magumu na ni majirani hamuwasemi wazungu walio nyuma ya haya yote. TUBADIRIKE!

Huogopi kumchukia mtu ambaye hata hujawahi kukutana naye?

Ubaya wa mtu mmoja au wachache kamwe usikufanye uwachukie wasiohusika.

Israeli wana sababu zao za msingi, Wapalestina nao. Kitu cha msingi tuwatakie amani Mungu asaidie
 
Dini ni kitu kibaya sana na ni wingu linaloficha ukatili na ukweli kuhusu maisha!!!

Mungu hayupo kama tunavyoaminishwa alivyo!!
 
Back
Top Bottom