Hupokelewi chuo mpaka ulipe Ada

Hupokelewi chuo mpaka ulipe Ada

The Fixer

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2008
Posts
1,365
Reaction score
594
Wana Jamvi,
Mie natatizika sana na elimu yetu hii ya Tanzania sidhani kama kweli ipo katika mustakabali wa kumuokoa mtoto / kijana wa Kitanzania kutoka katika ujinga.

Panaponitatiza ni hapa, Sikia hii ;

Baada ya kumaliza kidato cha sita, Unajaza fomu ya kuomba mkopo sambamba na kuchagua chuo cha kuendelea na masomo ya juu na kwenye ile bodi yetu pale Msasani wao watatoa jina kuwa umepata mkopo na chuo pia umepata

Chuo hawakupokei kwa kukusajili mpaka ulipe ada , Sasa huna uwezo ndio maana umeomba mkopo ! Bila kulipa ada na chuo kukusajili ule mkopo hautoki na bodi wao watakutambua baada tu ya kusajiliwa chuoni.

Sasa sisi watoto wa maskini TUTASOMA KWELI....?? Ada ya chuo kwa kuanza kwa uchache kabisa ni Laki 9...

Nimetatizika sanaa.!
 
kwani we umepata mkopo. Na kama umepata inakuaje wakudai, vip kwa wale waliopata 100 je wanatakiwa pia nao walipe kwanza ndo wasajiliwe
 
Laki 9?chuo gani mkuu??
 
kwani we umepata mkopo. Na kama umepata inakuaje wakudai, vip kwa wale waliopata 100 je wanatakiwa pia nao walipe kwanza ndo wasajiliwe

Yaaah, Unatakiwa kulipa ada chuoni ndip upate registration na ndipo bodi watapewa jina lako kuwa umeshafika chuoni na hakuna registration mpaka ulipe ada....
 
Chuo chenu ada ni kiasi gani? Na je bodi wamekulipia kiasi gani kwenye ada? Na je mchango mengine ni kiasi gani?
 
Sisi ada yetu ni 700,000 bt bodi wamenilipia 350,000,vp natakiwa nilipe zote zilizobaki ili nifanyiwe registration?
 
ni hiv kama heslb wamamekupa 80% unatakiwa ulipe 10% kwa semister ya kwanza na 10% kwa ya pili ni hivyo tu
 
Sisi ada yetu ni 700,000 bt bodi wamenilipia 350,000,vp natakiwa nilipe zote zilizobaki ili nifanyiwe registration?

Nielewavyo mimi kama bodi wamekupa 350000 kati ya 700000 ambayo sawa na 50% so unachotakiwa ni kulipa 25% semista ya kwanza na 25% semista ya pili

Zingatia kuna pesa nyengine nje ya ada ambazo bodi hawakulipii hivyo nazo inakupasa kuzilipa
 
ok,thanks mkuu
 
kama umepata mia
 
kama umepata mia

Kama umepata 100% ada haudaiwi hata thumni ila unatakiwa ulipe zile other fees kama vile examination fee, caution money, pesa ya kitambulisho, pesa ya library nk. Katia vyuo vingi pesa hii ulipwa yote wakati wa usajiri
 
asantn sana.
 
Back
Top Bottom