The Fixer
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 1,365
- 594
Wana Jamvi,
Mie natatizika sana na elimu yetu hii ya Tanzania sidhani kama kweli ipo katika mustakabali wa kumuokoa mtoto / kijana wa Kitanzania kutoka katika ujinga.
Panaponitatiza ni hapa, Sikia hii ;
Baada ya kumaliza kidato cha sita, Unajaza fomu ya kuomba mkopo sambamba na kuchagua chuo cha kuendelea na masomo ya juu na kwenye ile bodi yetu pale Msasani wao watatoa jina kuwa umepata mkopo na chuo pia umepata
Chuo hawakupokei kwa kukusajili mpaka ulipe ada , Sasa huna uwezo ndio maana umeomba mkopo ! Bila kulipa ada na chuo kukusajili ule mkopo hautoki na bodi wao watakutambua baada tu ya kusajiliwa chuoni.
Sasa sisi watoto wa maskini TUTASOMA KWELI....?? Ada ya chuo kwa kuanza kwa uchache kabisa ni Laki 9...
Nimetatizika sanaa.!